Don't be a nice guy

πŸ˜‚πŸ˜‚sucking community cocks,
 
Kwa sababu I know you....such a bully...stay away from me please...sitaki mazoea na mbwa koko
Mimi sio bully haujanielewa tu ninachosimamia. Wanawake wa kisasa huwa mnakuwa intimidated na wanaume wanaosimamia misimamo yao bila kuyumbishwa na wanapojenga hoja hawapepesi maneno wanayatoa kama yalivyo yaani dry dry.

Sasa hata nikikuuliza ni wapi nimekubully utaweza leta maelezo ya kutosheleza hapa kujitetea?
 
Kwani nahitaji hata kuja kwako kujua how much she is being bullied daily?!...wewe kutaka kupick up a fight na kila mwanamke wa jf ni proof tosha she is in a living hell..
Ume assume tu hilo ila ukweli ninaujua mimi tu hapa na nina sikitika kuwa umekataa kuja kuobserve life langu la mahusiano na mbaya zaidi unaishia ku insinuate kile unachowaza na sio unachotambua kiuhalisia but on the other News you need to cool and hold your horses, unapenda sana kupanic while am a lover not a fighter.
 
Inavyosemekana ile familia ya Kobe haikuwahi kumkubali kabisa yule mkewe na haikutaka amuoe, ila Kobe akamuoa tu hivyo hivyo kibishi. Ndio maana sasa hivi na yeye ameamua kuwa chura kiziwi
Yeye alishikilia kwamba ni demu wake tokea enzi za shule so hakutaka kumtema
 
Wewe ni bully, usidhanie unachochangia humu jf hakionwi. Who cares... Chukua time na unachosimamia Fala we!
 
Eti ukweli unaujua wewe,usijali ukweli wote tunaujua, tabia ni ngozi haijifichi...sijui utamconvince nani unavyopenda ugomvi na wanawake wa jf eti nyumbani kwa mkeo uwe ni mpenda amani..?!! Simply chukua time usinizoee kama ulizoea kuona mama yako akiwa bullied na baba yako,umenormalize bullying kwa wanawake then hayo ni matatizo yako sio yangu ...pita mbali na posts zangu Fala we!
 
Mwanamke gani kakuumiza huyo brooo
Mada zako ni kuponda wanawake
Yaonakanaa una trauma wewe
 
Hakuna anaechukia wanawake hapa ni wewe tu unajipanikisha na mawazo yako ya kuhisi hisi lakini hakuna mwanaume anayechukia mwanamke.
Huyo ni msimbe , ana hasira Mda wote
Sasa tukiwachukia wanawake tuta tomber wapi aiseee ?..... Sisi kazi yetu ni kuwasanua hawa madogo ambao hawaishi kiume wanalia Lia Tu Mda wote
 
hawa watu wanaanzaga kuwaweka ndugu zao mapema kipindi mwanaume anaoa ndiyo kipindi mwanamke na ndugu zake huja kwako, baada ya kujua mwanaume ana neema.

Exploitation huanza mapema kama mwanaume sio ngangari.

ila akiwa mafia hufaidi mali akishatangulia mbele za haki..........

Wakati uko njema chain ya mashemeji wema kwako ni wengi sana and their is where destruction started....and the chain goes on.......wakati huo mwanaume anawaona ndugu zake wa damu kama takataka na adui zake, anadiriki hadi kujitenga na wazazi wake.......πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„
 
Sasa mbona unanimbia vitu ambavyo hata sijawahi kuviona au umenichanganya na mtu? Sasa ni lini yule mzee alivyokuwa na upendo vile alishawahi mbully mamushka na sijawahi waona hata wakifokeana, zaidi wanaongea kwa kuelekezana tena kwa hekima kabisa.

Am sorry kama una maumivu but you seem so lost about me, unani profile kama mtu unayemjua but yet you always miss your shots.

Am not a bully and no my mother was never bullied anywhere while my father was a kind personal forever.

Now excuse yourself, i'll go and find a cup of coffee and some sparkling water.

Can i get you anything?
 
Huyo ni msimbe , ana hasira Mda wote
Sasa tukiwachukia wanawake tuta tomber wapi aiseee ?..... Sisi kazi yetu ni kuwasanua hawa madogo ambao hawaishi kiume wanalia Lia Tu Mda wote
Afu hadi nimeanza kuvutiwa nae. Mwanamke akiwa na jazba namna hii kitandani wanakuwaga watamu balaa. Hapa cha ajabu nikisoma comments zake nadinda balaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…