Logikos
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 15,460
- 24,233
It show how Myopic you are..., mimi tangia mwanzo hapa nasimamia be real and be yourself, jambo ambalo sipendi mimi wala siwezi kulifanya siwezi kuwaambia wengine wasilifanye kama at that instant wanaona linafaa basi ni vema kwao na likifaa jana au dakika hii halimaanishi kwa hao watu litafaa maisha..., Its anyone's choice kulingana na utashi wake (To each their Own)....Haya chukua zawadi yako nenda kawatumikie single mothers na wasimbe. Sisi wala hatuna haja ya kukubadilisha wala kutaka uwe tofauti. View attachment 3051370
Hata Devil, Psychopath au kichaa pia na yeye ana watu ambao ni compatible na yeye..., Don't look other people's lives through your own eyes, try stepping in their shoes