Don't be a nice guy

Don't be a nice guy

Haya chukua zawadi yako nenda kawatumikie single mothers na wasimbe. Sisi wala hatuna haja ya kukubadilisha wala kutaka uwe tofauti. View attachment 3051370
It show how Myopic you are..., mimi tangia mwanzo hapa nasimamia be real and be yourself, jambo ambalo sipendi mimi wala siwezi kulifanya siwezi kuwaambia wengine wasilifanye kama at that instant wanaona linafaa basi ni vema kwao na likifaa jana au dakika hii halimaanishi kwa hao watu litafaa maisha..., Its anyone's choice kulingana na utashi wake (To each their Own)....

Hata Devil, Psychopath au kichaa pia na yeye ana watu ambao ni compatible na yeye..., Don't look other people's lives through your own eyes, try stepping in their shoes
 
Wanaweza kujifunza kutokuwa playboys (kutochezea wanawake), ili utakapofika wakati wao wa kuoa wasianze kutukana wanawake, kwamba hawajitunzi na hawajiheshimu na siyo wife material
Maelezo yako hayapo clear kwani Kijana asiyechezea wanawake hawezi kuja kupata Malayer mstaafu?

Unawashauri nini Vijana waliojitunza na Kutoharibu Vitoto vya watu Wawe na Msimamo gani about girl's past?

Do they deserve better also??
 
Mnashindwa kujua kwamba kujitunza kwa wanawake ili wabaki na hizo bikira zao kutamaanisha na wanaume nao itabidi wajitunze, kwa sababu wanawake wote wakisema wajitunze hadi ndoa basi wanaume watakosa wanawake wa kufanya nao kabla ya ndoa sasa ninyi kujitunza hamtaki, mkiambiwa subirini hadi ndoa mnajifanya eti hamtaki kuuziwa mbuzi kwenye gunia halafu leo hii mnataka bikira sasa hizo bikira zitoke wapi mbona ni kama ninyi wenyewe tu hamjui au hamko tayari kufuata hicho mnachokiadvocate
Kwa asilimia kubwa jambo la kujamiiana (sex) lipo katika maamuzi ya mwanamke. Na katika hili hakuna usawa.

Leo hii mwanamke akiamua atoke barabarani akazini na wanaume watatu kwa siku ni rahisi hilo kufanikiwa.

Kuliko mwanaume akiaamua hilo kama hana hela ya kununua huduma sio rahisi kushawishi wanawake watatu kwa siku na akazini nao na hilo ni jambo la kimaumbile.

Yaani hata kama Wanaume utawafundisha maadili vipi ila ni rahisi mno kushawishika kwa maumbile ya mwanamke.

Lakini kama utaweza kumpa maadili mwanamke ni ngumu mwanaume kufanikiwa katika hilo hadi pale binti atakapo amua mwenyewe. Na hapo utaona tuu lazima utaratibu rasmi wa ndoa utafuatwa kwa sababu ndio njia pekee ya mwanaume kupata penzi la binti.

Nasisitiza Kukazania kumfundisha Simba eti Asile nyama ni ngumu waambie swala wasikatize mitaa ya Simba hilo litakuwa jambo la Busara zaidi.
 
Moderator huyu jamaa nyuzi zake nyingi ni kupondea wanawake do something
Kumbe kuna moderation ya topic zinazofurahisha watu na zisizofurahisha watu? [emoji848]

Kwahiyo mtu akiandika topic zake za kujenga hoja ambazo zinakinzana na wewe inakuwa nongwa.
 
What is the psychology behind ignoring a woman?​

Nini ipi Saikolojia ya kutojipendekeza kwa mwanamke?

Unapoamua kum-ignore nwanamke ujumbe wa kwanza unaopeleka kwake ni kuwa wewe hauna interest naye na hivyo hastahili ''attention'' yako

Hii inaweza kuwa njia ya mbadala ya kumfanya mwanamke atafute ''attention'' kutoka kwako.

Kwanini?
Unapoamua ku-ignore mwanamke unacheza na hisia zake za asili za kutaka kutambuliwa na kukubaliwa.
Wanawake wote wanahisia za kutaka kukubaliwa na kutambuliwa, unapoamua kwa makusudi ku-ignore inapeleka ujumbe kwamba yeye ni wa kawaida sana.

Hii humfanya kwa namna moja ama nyingine kukufikiria zaidi.

Lakini pia kumbuka kuwa ku-ignore mwanamke kuna hasara zake, wanawake wengine wamevuka kiwango cha kushughulika na hisia zao.

Ukim-ignore kwa muda mrefu naye pia anaweza kupoteza mvuto kwako na kuendelea na maisha yake, anaweza kufikia hitimisho kuwa wewe una dharau au ni mtu mbaya tu.

Hivyo unapaswa kujifunza njia sahihi ya kum-ignore mwanamke kama unataka mbinu hii ifanye kazi.
 
@Anita Makirita tumalize tofauti zetu, mwenzako nikisoma comments zako napata hisia za kukujali halafu nakuwa nakuonea aibu fulani hivi kama vile ndio natokea demu kwa mara ya kwanza kipindi nipo primary, hivi hatuwezi kuongelea hili swala wawili tu. I promise i'll be kind. I think i feel something kila nikisoma comments zako my dear,hebu kuwa na uvumilivu kunielewa.View attachment 3051374
We mjinga mjinga usitake kunizoea kifala
 
Vijana acheni kudanganyana.

Haya makitu hayanaga formular. Unaweza kuwa bad boy na ukala makombo vilevile.

Mapenzi hayanaga formular.
 
Women chases who doesn't love them, love who doesn't care for them.

Mwanamke atampiga chini nice guy na kupambana juu chini kuwa na bad boy ambae wala hana time nae zaidi ya kumchezea tu.

Mwanamke akishakua demaged, overused, traumatised, shattered, battered, broken, destroyed, and dumped by bad boys hapo sasa ndipo ataanza kumtafuta nice guy wa kumuokoa.

Muda pekee ambao nice guy anakua chaguo la mwanamke ni pale ambapo mwanamke uyo ashakua demaged na bad boys, but when she is fresh, beautful, innocent she will reject the good guy.

The only time she needs a real man is when all hope is lost, the moment she is tired of playing bed to bed midfielder, taking abortions pills, sucking community cocks, now age is catching up with her she needs to retire.

The good guys take the left over while bad boys eat her fresh. My brother never be that good and understanding man, you deserve much better. Judge a woman harshly based on her past.

Don't be understanding man that will accept rubish into your life. If she says she has repent, let her repentance be for another man but not you.
Well mm naweza sema mwanamke nikiumbe hakitabiriki. Ukipende usikipende anaweza fanya tukio usiamini tu. Nawaza sana Mfalme wa UK alikuwa akinogewa na capuchin ya house girl while Dod alikuwa akifunua mke ya mtoto wa malikia🤔😜
 
Watoto wa kishua bwana. Wewe unakula bure na kulala kwa hisani ya wazazi unahisi na wenzako wana privilege kama zako.

Kuna wenzako huku ground akivunja ungo tu familia yake inaanza kumjengea mazingira atafute pa kwenda maana hawana uwezo wa kumtunza wanataka akaanze maisha mapema apate mwenza wa kumtunza kabla umri haujamtupa.

Sasa wewe unahisi maisha yanakwenda kama kwenu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Weeeee ogopa ngosha[emoji23][emoji23][emoji23]

Anyways wanaume wameshaamua sasa na hali ndio kama unavyoona kwa sasa idadi ya single mothers inakuwa kwa kasi meaning wanaume wanachagua wanawake serious wa kufanya nao maisha sio yoyote yule. Ukileta ujuaji unapambana na hali yako.

Sasa wewe unakuja kuongea idea zako za kudownload kichwani kubabake haujawahi hata kujua bei ya chumvi ni bei gani, little girl go and change your diapers moma is calling you.
Yani wewe sijui kwanini huwa unapenda kujenga hoja mfu kwa kutolea mfano wa personal life ya mtu kana kwamba unamfahamu, haijalishi kama ni wa kishua au la ila mimi humu huwa siongelei personal experience, bali huwa naongelea uhalisia ninaouona kwenye jamii na kwa watu wanaonizunguka

Kama ulikuwa hujui basi kwa taarifa yako wanawake wanaotoka kwenye familia masikini ndio wanaongoza kukosa mapenzi ya dhati kwa wanaume, na ndio wanaoingia kwenye ndoa kwa maslahi ya kiuchumi sasa kuacha kwenu kuwaoa msifikiri mnawakomoa, kwa sababu watatafuta namna ya kuwa na pesa bila ndoa nafikiri hata sasa unaona jinsi wanawake walivyoanza kukamata fursa mbalimbali za kiuchumi

Kuna msemo unasema "kadiri mwanaume anavyozidi kupata pesa ndivyo anavyozidi kutamani kuwa na wanawake wengi ila kadiri mwanamke anavyozidi kupata ndivyo anavyozidi kutamani kuwa mbali na wanaume", sasa kama hoja yako ni kwamba umuhimu wa ndoa kwa mwanamke unategemea suala la uchumi, basi tutarajie huko mbeleni wanawake wanavyozidi kuwa na pesa ndivyo umuhimu wa ndoa kwao unavyozidi kupungua
 
Maelezo yako hayapo clear kwani Kijana asiyechezea wanawake hawezi kuja kupata Malayer mstaafu?

Unawashauri nini Vijana waliojitunza na Kutoharibu Vitoto vya watu Wawe na Msimamo gani about girl's past?

Do they deserve better also??
Kama vijana wangekuwa wanajitunza basi kusingekuwa na wanawake waliochezewa, kwa case ya mmoja mmoja kijana aliyejitunza ana haki ya kupata mwanamke aliyejitunza kama yeye, shida ni pale ambapo mwanaume kachezea wanawake wa kutosha huko halafu ukifika muda anataka kuoa anajifanya anatafuta mwanamke aliyejitunza
Kwa asilimia kubwa jambo la kujamiiana (sex) lipo katika maamuzi ya mwanamke. Na katika hili hakuna usawa.

Leo hii mwanamke akiamua atoke barabarani akazini na wanaume watatu kwa siku ni rahisi hilo kufanikiwa.

Kuliko mwanaume akiaamua hilo kama hana hela ya kununua huduma sio rahisi kushawishi wanawake watatu kwa siku na akazini nao na hilo ni jambo la kimaumbile.

Yaani hata kama Wanaume utawafundisha maadili vipi ila ni rahisi mno kushawishika kwa maumbile ya mwanamke.

Lakini kama utaweza kumpa maadili mwanamke ni ngumu mwanaume kufanikiwa katika hilo hadi pale binti atakapo amua mwenyewe. Na hapo utaona tuu lazima utaratibu rasmi wa ndoa utafuatwa kwa sababu ndio njia pekee ya mwanaume kupata penzi la binti.

Nasisitiza Kukazania kumfundisha Simba eti Asile nyama ni ngumu waambie swala wasikatize mitaa ya Simba hilo litakuwa jambo la Busara zaidi.
Na kwanini unaassume kwamba wanaume tu ndio rahisi kushawishika na siyo wanawake kwani umeambiwa wanawake ni malaika kwamba wao ndio hawawezi kushawishika, halafu hivi hiyo mifano yenu mnayotoa huwa mnaangalia kweli uhusiano wake na uhalisia uliopo au huwa mnaandika mradi tu muonekane mmeandika, kumbuka hapa tunaongelea kuhusu wanaume kulalamika kukosa wake wema lakini simba kamwe hawawezi kulalamika kwamba wameishiwa swala wa kula huko porini

Unashindwa kujua kwamba kujitunza kwa wanaume au wanawake siyo suala la man made gender stereotypes tena hiyo ilikuwa zamani ila siku hizi ni suala la kuangalia faida ya hilo jambo kwa kila jinsia, kwa sababu sasa hivi mnaoongoza kulalamika kuhusu tabia za wanawake ni wanaume kuliko wanawake wanavyolalamikia tabia za wanaume, kwahiyo haya malalamiko yenu yanadhihirisha kwamba ninyi ndio mna uhitaji wa tabia njema za wanawake kuliko wao walivyo na uhitaji wa tabia njema zenu

Wote tunajua wanawake kwa asilimia kubwa wanaingia kwenye ndoa kwa sababu ya huduma za kiuchumi tu na si eti tabia njema za wanaume maana wanaume wengi kwanza hawana hata hizo tabia njema zenyewe, ndio maana ni rahisi mwanamke kumvumilia mwanaume msaliti na mnyanyasaji kwa sababu tu anajua kuna kitu anapata ila mwanaume hawezi kumvumilia mwanamke mwenye tabia hizo sasa ikifika mahali wanaume hawaoi maana yake wanawake watatafuta njia nyingine za kutafuta pesa ili waishi, ila wanaume ambao wao mahitaji yao ya msingi ni tabia njema ndio watateseka maana watakosa wanawake wenye sifa hizo as you know wanaume huwa wanapenda wanawake wanaowaliwaza na wanaowafariji pale wanapotoka kwenye mihangaiko yao ya kila siku

Kwahivyo mkisema kwamba hamuwaoi wanawake kwa kudhani mnawakomoa itafika kipindi wanawake wataanza kuingia kwenye mahusiano kwa lengo la kupata watoto na kupunguza hamu tu nao hawatataka ndoa, na kumbuka faraja ya mwanamke iko kwa watoto wake mwanamke hata akiwa hana mume bado anaweza kuwa na furaha ikiwa ana watoto wanamjali kwahiyo hata uzeeni hatapata shida, ila wanaume kikawaida huwa wanategemea wapate faraja kutoka kwa wanawake (na ni ngumu kuipata kutoka kwa mwanamke ambaye hauko naye kwenye mahusiano rasmi) wote tunajua jinsi ambavyo watoto wengi hawana bond kubwa na baba zao na hujali mama zao kuliko baba zao pale wanapofika uzeeni

Kwahivyo ifike pahala wanaume muache kujifariji na kujidanganya na hizo imani na kauli zenu kwamba eti wanaume wakiacha kuoa wanawake ndio watakaoteseka hiyo ilikuwa zamani ambapo wanawake waliambiwa ndoa ndio kila kitu, siyo hawa wa siku hizi hawa wa siku hizi hawajali tena mkisusa kuwaoa nao ndio kwanza wanatafuta njia ya kuishi bila ndoa lakini mwisho wa siku tukija kwenye uhalisia na mahitaji ya kisaikolojia wote tunajua nani atakayeteseka zaidi, kwahivyo chagueni moja mjitunze muache kuwachezea wanawake ili mkitaka kuoa muwapate wenye sifa nzuri au muwachezee halafu mwisho wa siku msilalamike mje muwaoe hao hao maamuzi ni yenu
 
Bado unaweza ukamzidi kipato na akaliwa na unaowazidi pesa, elimu, mwonekano, exposure etc

Mwanamke anaweza kumpendea mtu, kitu cha kidogo tu na akaliwa.
Hakuna kanuni isiyokua na exception lakini ipo yenye ufanisi zaidi. Hili mahusiano yaende mwanaume anatakiwa kuwa masculine na amzidi kipato mwanamke kwa mbali.
 
Maelezo yako hayapo clear kwani Kijana asiyechezea wanawake hawezi kuja kupata Malayer mstaafu?

Unawashauri nini Vijana waliojitunza na Kutoharibu Vitoto vya watu Wawe na Msimamo gani about girl's past?

Do they deserve better also??
Umejiandaa na ligi uliyoianzisha? anyway, subiri aje.
 
Wakaange tu mkuu mpaka wakuelewe

Unaoa mdada ana bleach na tatoo kwenye bega
Na bado kwenye will u mere miii alikua kama anataka kukataa

Sasa si bora ungejilipua bomu la nyuklia😁😁😁🚶🏽‍♂️
😄😄
 
Kama vijana wangekuwa wanajitunza basi kusingekuwa na wanawake waliochezewa, kwa case ya mmoja mmoja kijana aliyejitunza ana haki ya kupata mwanamke aliyejitunza kama yeye, shida ni pale ambapo mwanaume kachezea wanawake wa kutosha huko halafu ukifika muda anataka kuoa anajifanya anatafuta mwanamke aliyejitunza
Hoja ya mtoa Mada ilikuwa Nice Guys kuja kukubali kuwapokea used women So ungejadili hili ama hilo la wanaume wanaoharibu binti za watu ni hoja nyengine kwa sababu uwepo wa wanaume wanaoharibu hausababishi wanaume innocent wawapokee Hao wanawake eti kwa sababu ni wanaume wenzao ndio walioharibu.
Na kwanini unaassume kwamba wanaume tu ndio rahisi kushawishika na siyo wanawake kwani umeambiwa wanawake ni malaika kwamba wao ndio hawawezi kushawishika, halafu hivi hiyo
Maumbile yapo hivyo sasa sijui wewe unakataa nini hapa.

Maumbile ya mwanamke sio sawa na ya mwanaume. Maumbile ya mwanamke ni more attractive kwa Jinsia tofauti. Au wewe huwa unawatamani Wanaume most of the time??
mifano yenu mnayotoa huwa mnaangalia kweli uhusiano wake na uhalisia uliopo au huwa mnaandika mradi tu muonekane mmeandika, kumbuka hapa tunaongelea kuhusu wanaume kulalamika kukosa wake wema lakini simba kamwe hawawezi kulalamika kwamba wameishiwa swala wa kula huko porini
Huo mfano ulitolewa kukuelekeza kuwa Tatizo huenda likasababishwa na factors zaidi ya Moja lakini hizo factors zisiwe na uzito unaofanana hivo hata kukabiliana nazo hakuwezi kuwa sawa.
Swala la Sex kama utaweza kuwadhibiti Wanawake utakuwa Umepiga hatua kubwa katika kuzuia Uzinifu.

Kwa sababu Maumbile ya Wanawake ni more attractive kwa wanaume kuliko ilivyo maumbile ya wanaume kwa wanawake.
Unashindwa kujua kwamba kujitunza kwa wanaume au wanawake siyo suala la man made gender stereotypes tena hiyo ilikuwa zamani ila siku hizi ni suala la kuangalia faida ya hilo jambo kwa kila jinsia, kwa sababu sasa hivi mnaoongoza kulalamika kuhusu tabia za wanawake ni wanaume kuliko wanawake wanavyolalamikia tabia za wanaume, kwahiyo haya malalamiko yenu yanadhihirisha kwamba ninyi ndio mna uhitaji wa tabia njema za wanawake kuliko wao walivyo na uhitaji wa tabia njema zenu
Sijaelewa hoja ni ipi hapa
Wote tunajua wanawake kwa asilimia kubwa wanaingia kwenye ndoa kwa sababu ya huduma za kiuchumi tu na si eti tabia njema za wanaume maana wanaume wengi kwanza hawana hata hizo tabia njema zenyewe, ndio maana ni rahisi mwanamke kumvumilia mwanaume msaliti na mnyanyasaji kwa sababu tu anajua kuna kitu anapata ila mwanaume hawezi kumvumilia mwanamke mwenye tabia hizo sasa ikifika mahali wanaume hawaoi maana yake wanawake watatafuta njia nyingine za kutafuta pesa ili waishi, ila wanaume ambao wao mahitaji yao ya msingi ni tabia njema ndio watateseka maana watakosa wanawake wenye sifa hizo as you know wanaume huwa wanapenda wanawake wanaowaliwaza na wanaowafariji pale wanapotoka kwenye mihangaiko yao ya kila siku
Umetoka nje ya mada.
Kwahivyo mkisema kwamba hamuwaoi wanawake kwa kudhani mnawakomoa itafika kipindi wanawake wataanza kuingia kwenye mahusiano kwa lengo la kupata watoto na kupunguza hamu tu nao hawatataka ndoa, na kumbuka faraja ya mwanamke iko kwa watoto wake mwanamke hata akiwa hana mume bado anaweza kuwa na furaha ikiwa ana watoto wanamjali kwahiyo hata uzeeni hatapata shida, ila wanaume kikawaida huwa wanategemea wapate faraja kutoka kwa wanawake (na ni ngumu kuipata kutoka kwa mwanamke ambaye hauko naye kwenye mahusiano rasmi) wote tunajua jinsi ambavyo watoto wengi hawana bond kubwa na baba zao na hujali mama zao kuliko baba zao pale wanapofika uzeeni
Unazungumza nadharia mno Wanawake wangapi single mothers wana watoto lakini wanatafuta wanaume wa kukaa nao?
Kwahivyo ifike pahala wanaume muache kujifariji na kujidanganya na hizo imani na kauli zenu kwamba eti wanaume wakiacha kuoa wanawake ndio watakaoteseka hiyo ilikuwa zamani ambapo wanawake waliambiwa ndoa ndio kila kitu, siyo hawa wa siku hizi hawa wa siku hizi hawajali tena mkisusa kuwaoa nao ndio kwanza wanatafuta njia ya kuishi bila ndoa lakini mwisho wa siku tukija kwenye uhalisia na mahitaji ya kisaikolojia wote tunajua nani atakayeteseka zaidi, kwahivyo chagueni moja mjitunze muache kuwachezea wanawake ili mkitaka kuoa muwapate wenye sifa nzuri au muwachezee halafu mwisho wa siku msilalamike mje muwaoe hao hao maamuzi ni yenu
Una shida mahali.
 
Back
Top Bottom