Don't be a nice guy

Umenikumbushia Kevin Samuels Muhimbu
 
Hapana msome vizuri yeye ameshauri wanaume wote wasiwe nice guys bila kujali hao wanaume wamejitunza au la, angeshauri wanaume waliojitunza kutooa wanawake waliochezewa ningemuunga mkono asilimia mia, lakini unakuta jitu limerukaruka na wanawake huko halafu mwisho wa siku linakuja kulialia eti wanawake hawajitunzi huo kama siyo wendawazimu ni nini
Maumbile yapo hivyo sasa sijui wewe unakataa nini hapa.

Maumbile ya mwanamke sio sawa na ya mwanaume. Maumbile ya mwanamke ni more attractive kwa Jinsia tofauti. Au wewe huwa unawatamani Wanaume most of the time??
Dooh kwahiyo wewe vishawishi pekee unavyovijua ni vya kimaumbile tu, ina maana hujui wanaume hutumia nini kuwashawishi wanawake, au unadhani wanaume hawafanyi jitihada zozote kuwarubuni wanawake wenye misimamo
Ndio maana nikakuambia hata wanawake nao ni binadamu na suala la sex halitegemei ushawishi wa kimaumbile tu bali mambo mengi, anyway wewe umetolea huo mfano wa simba na swala mimi nakupa mfano wa mtu na mazingira unapoamua kuharibu mazingira mwisho wa siku usije kulalamika kwamba mbona hayo mazingira yanakupa hewa chafu, wakati ni wewe mwenyewe ndiye umeyachafua kwahiyo hapo uamuzi ni wako wewe uchague kuyatunza mazingira ili yakupe hewa safi au uyaharibu ili yakupe hewa chafu maana mwisho wa siku mazingira yakiwa machafu utakayeteseka zaidi ni wewe
Kwa sababu Maumbile ya Wanawake ni more attractive kwa wanaume kuliko ilivyo maumbile ya wanaume kwa wanawake.
Hili nimeshalifafanua tayari
Sijaelewa hoja ni ipi hapa

Umetoka nje ya mada.
Kama kawaidaa yako
Unazungumza nadharia mno Wanawake wangapi single mothers wana watoto lakini wanatafuta wanaume wa kukaa nao?
Hilo mbona liko wazi wengi wanatafuta wanaume kwa sababu tu ya ugumu wa maisha, ogopa sana pale uhitaji wa jambo lolote unapotegemea hali ya kiuchumi ya mhusika, maana yake akiwa vizuri kiuchumi hilo jambo halihitaji tena na kumbuka hali ya kiuchumi hubadilikabadilika
Una shida mahali.
Si bora mimi
 
Upo sahihi.
Dooh kwahiyo wewe vishawishi pekee unavyovijua ni vya kimaumbile tu, ina maana hujui wanaume hutumia nini kuwashawishi wanawake, au unadhani wanaume hawafanyi jitihada zozote kuwarubuni wanawake wenye misimamo
Nimekwambia Factors may work together but with different weights. Elewa.
 
Jamiiforums raha sana
 
Akina mama wengi wanajitahidi sana kujali Waume zao na familia kwa ujumla mama anaamka from 5 am to 9 pm for breakfast arrangements lunch & dinner, house keeping.etc Waende shamba/kuchunga mifugo ama ni wafanyakazi/ wajasilimali, kote huko wanawajibikaTuwape maua Yao akina mama Sweet mother.
 
Jadda ni msimbe,msagaji,dungayembe,ni wale wanawake waliogongwa sana wakaachwa,asikuumize kichwa she is the looser
 
Don't be a Nice guy, Be a good guy. ✊🏿✊🏿
 

Attachments

  • Here is another one of those words where we get the definitions mixed up. You hear nice guys f...mp4
    3.3 MB
πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ§‘
 
Nice guys wengi ni mazoba.we angalia tu jinsi wasukuma wanavyosifiwa na wanawake eti ni nice guys kumbe ni mazoba.
 
Jf kuna
JF Kuna mambo kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…