Don't be a nice guy

Samehe saba mara sabini mweeee,,hakujua alitendalo
 
Nishamsamehe ndo mana nimeamua kuoa mtu mwingine. Huko tunapoenda tutasumbuana tu mana huyu mke wa mtu tayari.. utakuwa naye leo hana dira miaka 3 mbele anarudiana na jamaa kisa tu Walee mtoto wao
anaweza asirudiane nae lakini pia,, ingawa ukweli anao yeye
 
Ni mtazamo tu, suluhisho la hayo yote ni hela; kwa ulimwengu wa sasa, hitaji la mwanamke la kwanza ni kutatua njaa yake, ukifanikisha hilo utapiga mpaka uchoke, akishakuwa na uhakika wa kushiba, ndio anaanza kuangalia hizo sifa zingine.
 
Be prutinized.
 
Hata ukiwa nice guy automaticaly angalao usiwe simp.
 
Kabla hujawa bad boys assess yourself kama unaweza ku handle kuachwa
Usije ukajikuta unaanza kusikiliza motivational speaker πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ni mtazamo tu, suluhisho la hayo yote ni hela; kwa ulimwengu wa sasa, hitaji la mwanamke la kwanza ni kutatua njaa yake, ukifanikisha hilo utapiga mpaka uchoke, akishakuwa na uhakika wa kushiba, ndio anaanza kuangalia hizo sifa zingine.
Kuna simps wana hela na bado wanapelekeshwa na mwanamke. Tatizo lilopo kwenye jamii ni kwamba wanaume tumekubali kushusha thamani zetu mbele ya mwanamke, back day when our value was rigid hapakuwa na mwanaune anaeoa mke asie bikira ila sasa hivi kuna wajinga jinga wanaoa mpaka single mother.
 
Unatema nondo,hadi natamani uwe mwalimu wa Masimp WA generation Z,ndio wana huu ujinga sana,hasa wa kutoka mavyuoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…