Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Kuna simps wana hela na bado wanapelekeshwa na mwanamke. Tatizo lilopo kwenye jamii ni kwamba wanaume tumekubali kushusha thamani zetu mbele ya mwanamke, back day when our value was rigid hapakuwa na mwanaune anaeoa mke asie bikira ila sasa hivi kuna wajinga jinga wanaoa mpaka single mother.
Tatizo ni mabadiliko ya kiuchumi na kiteknolojia; binti anataka anukie vizuri, amiliki biashara kubwa, awe na usafiri na mjengo mkubwa, aweze kuzunguka dunia, pia hawataki kuzeeka haraka; hii inawapelekea kutafuta watu wenye hela, baada ya kuzipata ndio anatafuta kichaka cha wenye sifa zingine.