Don't be a nice guy

Tatizo ni mabadiliko ya kiuchumi na kiteknolojia; binti anataka anukie vizuri, amiliki biashara kubwa, awe na usafiri na mjengo mkubwa, aweze kuzunguka dunia, pia hawataki kuzeeka haraka; hii inawapelekea kutafuta watu wenye hela, baada ya kuzipata ndio anatafuta kichaka cha wenye sifa zingine.​
 
Ndio maana nasisitiza na wanaune nao kukaa kitaalamu. Wanawake tayari wameshatoka kwenye zama za mapenzi ya kweli sasa hivi wapo kwenye zama za mapenzi ya masilahi lakini wanaume bado wanajivuta kukubaliana na mabadiliko ya nyakati.

Ishi na mwanamke kwa namna alivyokuja kama yupo kimasilahi na wewe mtumie kimasilahi kama ana dhamira ya kutengeneza familia basi muoe muanzishe familia yenu.
 
Kwakweli umemaliza yote😊🙏
 
Kweli kabisa
Usimuonee huruma mwanamke.
Kweli kabisa
Bado unatafuta ajira
Kweli kabisa
Ukute ni dadako
Kweli kabisa
Kweli kabisa
Kweli kabisa
Upo sahihi asilimia100 kuna kipindi mwanamke akinikwaza hata kidogo nakuwanamuangalia siongei anakuwa anatetemeka me nakuwa nakata vyombo
Kweli kabisa
Kwakweli umemaliza yote😊🙏
Kweli kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…