Ndo ushakua mpuuzi umechangia, mwenyewe imelazimu niwe mpuuzi ili nikuambieYani huwezi kukuta nachangia kwenye nyuzi za kipuuzi kama hizi.
Hadi hapo ushakomentUzi za dizaini hii huwa si comment kitu.
Jamaaa umenikumbusha habari ya CHICHIDODO katika kile kitabu pendwa.Yani huwezi kukuta nachangia kwenye nyuzi za kipuuzi kama hizi.
Aisee nasema hivi tuelewane . Marufuku kukoment chochote kwenye uzi huu.
Wewe utakae koment ni nyauba.
Nataka uzi huu uwe kimya miaka yoote. Hata like sitaki nimesema.
Ukiona mtu ka komenti ruksa kumuita nyauba.
Sasa nione limtu linagusa like au comment. Nyauba nyie