Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 24,844
- 29,126
Punguza hasira π€£π€£Huu ndio usenge ambao hakuna mwanaume mwenye akili timamu anaweza uvumilia. Yaan uwe kwenye mahusiano uruhusu mwenzi wako aendelee kuwasiliana na mtu wake wa zamani haijalishi wamezaa au laa. Ndio maana wanasema kumuoa single mother hakikisha umeona kaburi la mzazi mwenzie.
Sio lazima jamani kuona kaburi. Muhimu ni kwamba single maza akuweke wazi kuwa mbususu mtashare na huyu bby daddy basi. Muhimu transparency tuu.Kikao kilipitisha "hadi uoneshwe kaburi"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwahiyo ulitaka wasiwasiliane wakati wamezaa??
Kupiga mashine tu, kuoa aaah
Mkuu hata tukikisoma hakuna jipya, hao grown Men ni wanaume wenye watoto ndio wanaowafaa hao single mom, lakini kijana kama Mimi ambae sipendi nipate mtoto nikiwa bado sijaoa then nijiweke Kwa single mother ntakua punguani.Tafuteni hiki kitabu mkisome kitawafungua macho kuhusu masingo maza πΆπΏββοΈπΆπΏββοΈπΆπΏββοΈ
View attachment 3035530
View attachment 3035529
Niwawekee hapa hichi kitabu? mzabzab na Mzee wa kupambania mtakisoma with open mind? π
Kuna vijana wapumbavu wanaanzisha familia juu ya familia ya mwanaume mwingine hao ndio wanatia hasira, kama nawao ni single father's wawatafute single mother's ili waishi Kwa amani. Lkn mtu huna mtoto eti unataka uweke makazi Kwa mwanamke mwenye mtoto/watoto lazima ufe kabla ya siku zako.Punguza hasira π€£π€£
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£ Kikubwa transparency, mzab hivi si unioe mbona kama 100% tunamatchSio lazima jamani kuona kaburi. Muhimu ni kwamba single maza akuweke wazi kuwa mbususu mtashare na huyu bby daddy basi. Muhimu transparency tuu.
Maana ata asipo mpea bby daddy kuna fala mwengine atapewa tuu hiyo mbususu
Wee tulia bby nilishakwambia leta passport yako tukafunge ndoa dubai.π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£ Kikubwa transparency, mzab hivi si unioe mbona kama 100% tunamatch
OkAisee hawa watu sio kabisa,, nilikuwa najifariji kwa single mother mmoja,as time goes nikawa naanza kumuelewa, naona kama mbona ana vision , basi nikajikuta Nina hisia naye full. Kwanza nilishamuliza una mahusiano gani na mzazi mwenzio ,*akanijbu hamna kitu Sasa Leo picha limeanzaje ,nimeaga home nimesafiri , kumbe naenda jificha hotelini, sasa nipo hotel, nimemtoa bar ,nimemchukulia Bavaria, nimerudi room hoteli nianze kula mzigo, kaniomba ngoja nimpigie mother aisee kwenye mazungumzo na mother yake,si mother anamwambia juma anakutfta umtumie picha ya mtoto,anajibu ntamtumia nikisijikia ,aisee nahisi bia zimekata, so acha amalize kuongea na simu ,mimi nimeshatoka nje , akimaliza kuongea atafte boda ,,mimi nilishawasha gari kitambo , usenge huu
Afu nakutaftia na mke wa pili Demi ni threesome kila dakikaWee tulia bby nilishakwambia leta passport yako tukafunge ndoa dubai.
Million 10 tuu tunaenda tunaenjoy tukirudi bongo wee tayari mrs mzabzab
Hapo ndio utakuwa umenipatia kabisaaa....wote nawanunulia ist mbususu zisitoke jasho sana kwa kutembeaπ€£π€£π€£Afu nakutaftia na mie wa pili Demi ni threesome kila dakika
Hata mimi sijakisoma mkuu. Sidhani kama kitakuwa na jipya! Utakuta pengine kimeandikwa na simp mmoja wa kizungu au mwenye uzungu wake huko πππππΏββοΈππΏββοΈππΏββοΈππΏββοΈMkuu hata tukikisoma hakuna jipya, hao grown Men ni wanaume wenye watoto ndio wanaowafaa hao single mom, lakini kijana kama Mimi ambae sipendi nipate mtoto nikiwa bado sijaoa then nijiweke Kwa single mother ntakua punguani.
Kama una watoto ambao uliwapata Kwa mwanamke mwingine, tafuta single mom muwakusanye watoto wenu muwalee. Sisi wengine ngoja tutafute fresh wenzetu tuanzishe familia.
NimechekaKuna vijana wapumbavu wanaanzisha familia juu ya familia ya mwanaume mwingine hao ndio wanatia hasira, kama nawao ni single father's wawatafute single mother's ili waishi Kwa amani. Lkn mtu huna mtoto eti unataka uweke makazi Kwa mwanamke mwenye mtoto/watoto lazima ufe kabla ya siku zako.
Kweli wewe risk takerhuwa mnawasiminga single mothers wakati dada zenu wanatoa mimba kila uchwao. fakii yuu
Yeah wao Kwa wao ndio wanawezana , lakini vinginevyo hutopata amani ndani ya ndoa. Eti wakuta mwanaume anawasiliana na mzazi mwenzie eti kisa kulee mtoto wewe mwanamke ulioko ndani ya ndoa utajisikiaje?. Au mkeo anapigiwa simu na mwanaume mwenzio eti anamuulizia mtoto wake wewe mwanaume utajisikiaje?. Kiukweli acha waoawane wao Kwa wao single father's Kwa single mother's ili wakiwasiliana na wazazi wenzao iwe bila bila.Nimecheka
Kwakweli waoane wao Kwa waoπ
Unaanzaje sasa kukataa .........hapo anaitafuta rimoti ya king'amuzi cha azam abadili chanelView attachment 3035206
Kweli kabisa mchagua mbususu sio mgegedajiTatizo jamii kwa sasa imeshaharibika. Vijana wamekuwa dhaifu sana. Vijana wengi wanashindwa kabisa kuwa-control wanawake na kuishia kuwa mateka wa wanawake. Mara nyingi vijana wanaolialia kuhusu wanawake hawawezi kuwaongoza wanawake. Halafu kama unaona wewe huwezi kuwa na single maza acha kueneza hiyo chuki yako kwa wanaume wengine. Mchagua K si Mt**baji.
Mkuu uko nje ya topic...huwa mnawasiminga single mothers wakati dada zenu wanatoa mimba kila uchwao. fakii yuu