Don't drink or use mobile phones when driving!

http://pichaz.jamiiforums.com/out.php/i1037_untitled.JPG[/IMG]
]Katika ajali hii nasikia baada ya kusababisha ajali,dereva wa hiyo gari ndogo amekimbia na hajulikani alipo mpaka picha zinatufikia!!Hivi dawa ya tatizo ni kukimbia au kulikabili?,mi naona sasa kuwe na nyavu za kukamatia hawa madereva wasio na utu,badala ya kubaki eneo la tukio,wanakimbia hii si dharau jamani!!
 
usiombe uone picha za ajali kamili, huyo 'dreva' masikini alisagika kiuno katika vipande viwili!!!! we acha tu ndugu yangu hujafa hujaumbika!! Picha hazijawekwa hapa kwasababu ziko 'too graphical' si unajua JF na watoto wapo, watu wenye roho nyepesi nyepesi pia tupo, hatuchelewi kumwaga mchozi! Ila madereva tuweni makini!
 
Lakini kulingana na hiyo picha, sidhani kama dereva wa gari ndogo alitoka salama na kuweza kukimbia. Labda dereva wa lori ndo angeweza kukimbia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…