Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
]Katika ajali hii nasikia baada ya kusababisha ajali,dereva wa hiyo gari ndogo amekimbia na hajulikani alipo mpaka picha zinatufikia!!Hivi dawa ya tatizo ni kukimbia au kulikabili?,mi naona sasa kuwe na nyavu za kukamatia hawa madereva wasio na utu,badala ya kubaki eneo la tukio,wanakimbia hii si dharau jamani!!http://pichaz.jamiiforums.com/out.php/i1037_untitled.JPG[/IMG]
usiombe uone picha za ajali kamili, huyo 'dreva' masikini alisagika kiuno katika vipande viwili!!!! we acha tu ndugu yangu hujafa hujaumbika!! Picha hazijawekwa hapa kwasababu ziko 'too graphical' si unajua JF na watoto wapo, watu wenye roho nyepesi nyepesi pia tupo, hatuchelewi kumwaga mchozi! Ila madereva tuweni makini!]Katika ajali hii nasikia baada ya kusababisha ajali,dereva wa hiyo gari ndogo amekimbia na hajulikani alipo mpaka picha zinatufikia!!Hivi dawa ya tatizo ni kukimbia au kulikabili?,mi naona sasa kuwe na nyavu za kukamatia hawa madereva wasio na utu,badala ya kubaki eneo la tukio,wanakimbia hii si dharau jamani!!