Don't play with fire if you cant stand the heat.

Don't play with fire if you cant stand the heat.

unanitishia we umekuwa polisi?? congrats kwa kuwa na maamuzi hayo.kuna watu wanawafumania mademu zao mara kibao but still wanakosa courage ya kuwatosa,..love is free,love is happiness mambo ya kutishiana hayafai

Mkuu unajua some people are addicted to abuses and being ridiculously marshaled in love,but some are aware to where they actually stand in the picture.We should believe in perseverance but never in a mood for going for the Guiness World Record of many heartbreaks in a single r/ship.
 
jamani nyie kiinglish chenu kigumu

Naweka kiswahili kwa ajili ya Badili Tabia na wengineo poleni sana baadhi yetu tumejizoeza kupita kiasi na hii lugha ya wageni..
Ni hivi ''nilikuwa nina uhusiano msichana fulani kipindi cha nyuma kidogo.Nilimpenda kwa kuwa alikuwa wa kwanza kwangu lakini alikuwa na mazoea ya kunitishia kauli ya 'naomba tuachane' ili kuniogopesha au kunitikisa kidogo.
Ikafika siku na mimi nikachoshwa na huo mchezo nikamwambia mimi na wewe basi,mara ya kwanza alidhani ninafanya mzaha lakini baadaye alikuja kutambua nilimaanisha nilichokisema.Napenda wanawake wanaojua wanachokihitaji maishani mwao.Lakini pia ni wazi wanawake huwatenda wapenzi wao kama tu wanaume wafanyavyo.Kama unaye umependaye tafadhali mtunze na mthamini kabla haijawa kuchelewa mno.Nawatakia heri wote humu MMU''
 
Ujumbe umekuwa mzito zaidi baada ya kuuweka kwenye lugha yetu..
 
Sometimes you just have to know where to draw the line.I had no other reasons apart from being fade up of being her plaything.

bad English isn't fun anymore...................I know you meant fed-up and not fade-up...the two words convey totally diametrically two opposite messages...........
 
Ujumbe umekuwa mzito zaidi baada ya kuuweka kwenye lugha yetu..

dunia ya leo tujifunze na lugha nyingine angalau hii ya mwingerea kwa kuanzia basi.....lol
 
Plaything??? That sucks..Life goes on!

If he was really in love being a plaything would have appealed to his soul too.......the fact remains he never loved her to begin with.................they was no them................kama kweli umependa utaona kengeza na hizo mbwembwe zake hutazitilia maanani......
 
Back
Top Bottom