CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,872
- 9,263
usibadili malengo badili njia. Kama malengo yako ni kuwa mkulima mkubwa wa Mchicha basi usi quit ila badili njia zingine za kufikia kiwa mkulima mkubwa 1a mchichaNot Always hiyo Principle ina apply, wakati mwingine ku quit ni njia nzuri kujaribu fursa nyingine. Huwezi kuendelea kukomaa tu na hicho unachokifanya wkt unapata hasara kila kukicha.