Dont quit your arleady in Pain, Get a reward from It.

Dont quit your arleady in Pain, Get a reward from It.

CHASHA FARMING

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2011
Posts
7,872
Reaction score
9,263
Moja ya makosa makubwa tunayo fanya ni ku quit biashara.

How come umehangaika labda ulikuwa hulali, ulikuwa unashinda njaa kisa biashara yako.

Kuna wakati hata muda wa kusalimia ndugu hukuwa nao kisa biashara yako.

Watu mtaani kwenu wanajua wewe kwa sasa uko bise, ndugu zako wanakuona uko bise sana, Familia yako inakuona uko bise sana.

Ghafla ubise unakata na wanaanza kukuona upo. Hii ni mbaya sana jitihada zako zote zimekuja kuwa Zero.

HUTAKIWI KU QUIT KWA SABABU TIYARI USHA IMIA AU UKO KWENYE MAUMIVU SO KINACHO TAKIWA NI KUMALIZIA ILI ULE MATUNDA.

Hakuna Disapoint mbaya sana kama Quite.

QUITING NI MOJA YA GREAT DISAPOINT
43e48767c78647d2ae0467bfd84b8b87.jpg
 
Not Always hiyo Principle ina apply, wakati mwingine ku quit ni njia nzuri kujaribu fursa nyingine. Huwezi kuendelea kukomaa tu na hicho unachokifanya wkt unapata hasara kila kukicha.
 
Not Always hiyo Principle ina apply, wakati mwingine ku quit ni njia nzuri kujaribu fursa nyingine. Huwezi kuendelea kukomaa tu na hicho unachokifanya wkt unapata hasara kila kukicha.
usibadili malengo badili njia. Kama malengo yako ni kuwa mkulima mkubwa wa Mchicha basi usi quit ila badili njia zingine za kufikia kiwa mkulima mkubwa 1a mchicha
 
Back
Top Bottom