EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
Twende kazi ππ»ππ»ππ»ππ»
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukienda Dar waagiza kama zinaota pembezoni mwa barabara π€£π€£π€£Msituchanganye mnazani huku dodoma zabibu zimeoteana kama ndulele unajichumia tu.
Wanadhani huku singida mafuta yanatoka bombani kutwa kucha kutuagiza mafuta ya kupikia.Ukienda Dar waagiza kama zinaota pembezoni mwa barabara π€£π€£π€£
Kama alizeti wanahisi ni maua wapande mabarazani mwao π€£π€£Wanadhani huku singida mafuta yanatoka bombani kutwa kucha kutuagiza mafuta ya kupikia.
Wanadhani huku bukoba senene ni kama sisimizi wakome πKama alizeti wanahisi ni maua wapande mabarazani mwao π€£π€£
Kumbe wee ni nyakisπππWanahisi huku mbeya mchele, maparachichi na viazi vinapatikana bure tu
Watu wa Dar wanadhani huku Njombe viazi na mahindi vya kuchukua tuu kama mchanga bureWatu wa dasalama wanadhani huku Moshi ndizi zinajiotea tu Kama magugu maji.
Bangi nyingi jaribu kwenye ngorongoro kreta wakati unapandisha juu bangi imemea pambeni ya barabara upende wa bondeni ,π€£π€£π€£π€£watu wa mikoani wanadhani huku Arusha Kila mtu kafyatuka akili kama wanavoona kwenye clip zinazoenda viral zikionesha mateja wanafanya vituko.
Un@vopenda mabonge huyo ndugu wa financial services ππππKumbe wee ni nyakisπππ
Ndio maana ana upaja na tako litakuwepo
Kwenye miguu hatupingi πππMnadhani Huku uchagani Kila mchaga ni mfanyabiashara?au mnadhani Kila mchaga ana tumiguu twembamba ?