Don't spoil the fun, ungia na kabila lako 🤣🤣

Bangi nzuri kaka shida nyie mnawatumia mateja kui-judge
Na ukiona una kuwa na uraibu kupitiliza na kitu chochote basi jua kwanza hujitambui,, hiko kitu hakikufai ukalazimisha,,,shida inakuwa yako wala si ya ulichotumia,,,sio kila kitu ni kwa ajili ya kila mtu na kila kitu kipo kwa ajili ya mtu/watu husika!!
 
Itakuwa zigo kweli kwwli ukilichapa linaleta mawimbi
Ukienda uwe umeshiba haswaa sio unakula chips kazu na fursana.

Mbeya viazi hupiwi wanakujazia kama mpo wa5 wanahesabu mayai tu.

🐖 ndio balaa bei chee balaa nshaishi kidoogo hapo mbeya mjini na Chunya
 
Na ukiona una kuwa na uraibu kupitiliza na kitu chochote basi jua kwanza hujitambui,, hiko kitu hakikufai ukalazimisha,,,shida inakuwa yako wala si ya ulichotumia,,,sio kila kitu ni kwa ajili ya kila mtu na kila kitu kipo kwa ajili ya mtu/watu husika!!
🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom