Don't Starve Yourself for Looks

Don't Starve Yourself for Looks

Ukiweka ya kiswahili we dada utaniita
 
Ngozi fake, makalio fake, bikira fake, kope fake, simu fake, viatu fake, chupi fake, nywele fake, mnataka niendelee
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huu uzi naona ni mahsusi kwa waliosoma St. Mtakatifu Academy International Schools...

Tuliosima Mtakuja Primary School ngoja tukaweke kambi jukwaa la wakubwa
 
Binafsi sipendi, yaani tena sipendi kabisa. Liwe ziwa tena ziwa haswa, yani ukishika ile pair you run nuts kidogo, that's what I like. Ila hatufanani binadamu, wapo wanaopenda hao wenye kifua flat na tyako lisilojaa kiganja, wapo wengi tu.
Khaaaa mbona dada angu unampenda vilevile alivyo ngoja niscreenshot nimtumie
 
Khaaaa mbona dada angu unampenda vilevile alivyo ngoja niscreenshot nimtumie
Teh, acha uchonganishi shunie, BTW sijamuona mda sana nadhani wakware wameshafanya yao...
 
Mkia wa kondoo wenye Mafuta ndo issue ya mjini. Unashika kitu kinashikika sio unakuwa na mtu hata upepo wa kus tu unamdondosha
 
Wale waliokimbia umande kazi tunayo kwenye huu uzi..
 
Back
Top Bottom