Don't trust women

Don't trust women

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,779
Reaction score
4,982
Maisha is going fast kabisa

Yaani juzi juzi apa kanikataa na kunitukana kinoma eti kisa amepata mwanaume ambaye kwao Wana uwezo wa pesa.

Aka ni sau mimi ambaye nilikosa usingizi ili ale vizuri na apendeze. Nika achwa na matusi juu pamoja na zaru eti Leo ana itaji msahada wangu.

Dah apa ndipo na amini dunia inazunguka. Yule aliye jiona mrembo kupita. Ka achwa kwa zarau Kama alivyo ni acha kwa zarau.

Sijui Kama na mimi ni msaidiye kwa zarau. Au ni mtupilie mbali kabisa na macho yangu
 
Pole sana mzee, mapenzi yana mitihani kinoma sana yapaswa kujiandaa tu!
 
Hawa viumbe huwa hawajifunzi kutokana na makosa waliyofanya..

Msamehe uone kama hatopata mwingine mwenye hela alafu uone kana hatakutukana tena
 
Kwisha , mwambie kwisha habari yake
 
Acha ujinga,kama alikuacha kwa dharau akaenda kwa mwingine unadhani anataka kurudi kwako kwa kukupenda? hapo anajishikiza tu ila atakuja kukupiga teke tena,move on,life is very short kwanini utake kuishi na mtu ambaye humuamini? unadhani itatokea miujiza ili uanze kumuamini tena?
 
We ATM wake ndo maana,, ushawahi oNA wapi mkonoukasahau mdomo?
 
All girls are the same, the only thing different is name.../
these bitches give me the same pain, the same headache.../

Juice WRLD
 
Mzee Wala usiumize kichwa , Wala usimtukane, mchukulie poa tu Kama Kuna kitu hakija tokea .....ila mu abuse yaani mdinye dinye bila mpangilio na usiweke malengo nae mfanye kipozeo huku unatafuta mwingine mwenye akili .....Tena dinya kwa dharau
 
Back
Top Bottom