Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inaitwa gigs effect. Pale anapokuacha na kudhani grass is greener in other side. Kumbe anapoenda ndio yanamkutaMaisha is going fast kabisa
Yaani juzi juzi apa kanikataa na kunitukana kinoma eti kisa amepata mwanaume ambaye kwao Wana uwezo wa pesa.
Aka ni sau mimi ambaye nilikosa usingizi ili ale vizuri na apendeze. Nika achwa na matusi juu pamoja na zaru eti Leo ana itaji msahada wangu.
Dah apa ndipo na amini dunia inazunguka. Yule aliye jiona mrembo kupita. Ka achwa kwa zarau Kama alivyo ni acha kwa zarau.
Sijui Kama na mimi ni msaidiye kwa zarau. Au ni mtupilie mbali kabisa na macho yangu
Tangia nipigwe tukio nasoma tu ili nijue tunateseka wangapi nikiona tupo wengi nafarijika
Cheers mkuu
Maisha is going fast kabisa
Yaani juzi juzi apa kanikataa na kunitukana kinoma eti kisa amepata mwanaume ambaye kwao Wana uwezo wa pesa.
Aka ni sau mimi ambaye nilikosa usingizi ili ale vizuri na apendeze. Nika achwa na matusi juu pamoja na zaru eti Leo ana itaji msahada wangu.
Dah apa ndipo na amini dunia inazunguka. Yule aliye jiona mrembo kupita. Ka achwa kwa zarau Kama alivyo ni acha kwa zarau.
Sijui Kama na mimi ni msaidiye kwa zarau. Au ni mtupilie mbali kabisa na macho yangu
dharau✔Maisha is going fast kabisa