Pole sana mzee, mapenzi yana mitihani kinoma sana yapaswa kujiandaa tu!Maisha is going fast kabisa
Yaani juzi juzi apa kanikataa na kunitukana kinoma eti kisa amepata mwanaume ambaye kwao Wana uwezo wa pesa.
Aka ni sau mimi ambaye nilikosa usingizi ili ale vizuri na apendeze. Nika achwa na matusi juu pamoja na zaru eti Leo ana itaji msahada wangu.
Dah apa ndipo na amini dunia inazunguka. Yule aliye jiona mrembo kupita. Ka achwa kwa zarau Kama alivyo ni acha kwa zarau.
Sijui Kama na mimi ni msaidiye kwa zarau. Au ni mtupilie mbali kabisa na macho yangu
Mwandiko na ID yako vinaendanaNa mpenda but I don't trust her
She isn't your responsibility. Go no contact.Sijui Kama na mimi ni msaidiye kwa zarau. Au ni mtupilie mbali kabisa na macho yangu