Don't trust women

Usimkibali tena kimbia kabisaa. Ukimkubali tu anakubebea na mimba kabsaa alaf siku akipata bwana mwenye ela tena anakutelekeza na mtoto wako.
 
Inaitwa gigs effect. Pale anapokuacha na kudhani grass is greener in other side. Kumbe anapoenda ndio yanamkuta
 
Niwaheri [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]wewe unamtetea mwenzako wakati ulisema kua tabia yenu nikutupanga mafungu.????

MZEE NAKUSHAURI ACHANA NA HIO TAKATAKA
Mwandishi anasema anamsaidiya mi sina pingamizi katika hilo
 
wanaume tugonge tano, tuendelee na maisha tu
 
Hao viumbe tumeambiwa tuishi nao kwa akili licha ya kwamba ni wadhaifu, Sababu kuu ni moja 'TAMAA'
Wana tamaa sana, mpokee tena alafu atokee zungu lingine uone part 2 yake ....

Jiulize kwanini shetani hakumshawishi dingi yetu ADAM kula lile bibo?
 
Tangia nipigwe tukio nasoma tu ili nijue tunateseka wangapi nikiona tupo wengi nafarijika
Cheers mkuu
 
 
dharau
dharau✔
zarau❌
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…