DOPAMINE na nguvu za kiume

DOPAMINE na nguvu za kiume

Kidagaa kimemwozea

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2018
Posts
3,680
Reaction score
6,554
.
1.dopamine
Hiki ni kichocheo kinachozalishwa na mwili na kutokana na matendo fulani au vitu fulani vinavyoupatia mwili raha au zawadi, mfumo wa ubongo unaohusuka na kutengenezwa kwa dopamine unajulikana kama Brain reward system.mfumo.huu hufanya kazi sana mtu anapojihusisha na matendo yanayoupatia mwili raha au zawadi,mfano mtu akisikia harufu ya chakula mfumo.huu huzalisha dopamine kwa wingi hvyo kufanya mtu kupata hamu.ya chakula.

Vivyo hvyo mtu akionda baadhi ya sehemu za mwanamke mfumo huu huzalisha kwa wingi dopamine ambayo inafanya kazi ya kuifanya hormone ya testosterone kufanya kazi kwa kasi sana hadi.mtu unapata hamu ya kufanya tendo.la ndoa pia inapelekea kuzalishwa kwa Nitric oxide inayo saidia mishipa ya damu ktanuka na kufanya damu kujaa kwenye mishipa ya uume na uume kusimama.

Hivyo.mfumo.huu unavyoathirika na kutokua katika hali yake ya kawaida bas huathiri mtu anavopata hamu ya vitu fulani ikiwemo hamu ya kufanya mapenzi na uume kusimama

Dopamine hii inafanya kazi ya kuunganisha taarifa kati.ya mishipa ya fahamu, kitaalamu tunaiita neurotransmitter.zipo aina nyingi.za neurotransmitter na kila moja inatengenezwa katika hali fulani,mfano unapokua na woga,stress inapelekea kuzalishwa kwa neurotransmitter inayojulikana kama noraepinephrine

PUNYETO
Wengi hudhani punyeto linaathiri nguvu za kiume kwa kulegeza misuli ya uume nk.
Hapana punyeto na kuangalia picha za ngono znaharibu nguvu za kiume kwa kuharibu mfumo wa zawadi wa ubongo _ brain reward system inayozalisha dopamine.

Kivipi?
Unapofanya punyeto ubongo kawaida unakua overstimulated kuliko kawaida unavokua unafanya mapenzi kwa sababu unauminya sana uume na unavoubana wakati wa kujichua ni tofauti.sana na uume unavokua ndani ya uke,pia unavokua unafanya punyeto unakua unavuta picha ya wanawake wa aina mbali mbali tofauti na ukiwa unafanya mapenzi akili imetulia hapo kwa mtu mmoja, hvyo inasababisha yafatayo

1.ubongo kutengeneza kiwango kingine cha juu (threshold point) ya kusisimka na kuzalisha dopamine kwa wingi zaidi ndo maana mtu huyu akifanya mapenz na mwanamke haridhiki kutokana na kiwango cha dopamine kitachozalishwa hapa kinakua chini kuliko kile kipya ubongo ulichozoea kutokana na punyeto. Hii inapelekea sasa mtu kutopata msisimko wa kutosha wakati ana mwanamke na kupelekea uume kutosimama au kusimama kidogo (partial erection).
Kwa kua mwili umeonja ile hali ya dopamine kuwa juu utatamani mara nyingi hyo.hali ndo hapo mtu anakua teja wa punyeto

2.dopamine inavozalishwa kwa kasi bila mpangilio inapelekea sehemu chembe za dopamine znapopaswa kujishikiza (receptors) kufa hvyo dopamine hata ikizalishwa inafkia kipindi haina pa kujishikiza hvyo haiwezi kufanya kazi.

Kuprove ili kwamba wakati wa punyeto mfumo wa zawadi wa ubongo unafanya kazi ya zaiada kuliko pale mtu.akiwa anafanya mapenzi na mwanamke baada ya punyeto mtu huchoka zaidi kuliko yule anaefanya mapenz na mwanamke

Kupitia hapo sasa ndo tutapata picha kwa nini ukiwa na stress,woga,hupati hamu ya kufanya mapenzi au huume unashindwa kusimama.
Au ukiwa na wasiwas wakati wa tendo uume unaweza kushindwa kusimama.

Hii ni kwa sababu wakati wa stress na wasiwasi mwili unalazimika kutengeneza Norepinephrine na sio dopamine.
 
Back
Top Bottom