Doreen (Dee Andy); Hivi unatangaza au unapiga makelele na kuchekacheka?

Threads nyingine zinatujazia server tu..
 
Anavyojidai anawajua kina jay z,kanyee nk.. hahahaaaa utadhan kawah kuwaona... mi nachekaga tu.
 
Picha yake kama ipo tumwone ,maana watu wenye sauti nzuri wengi wao ni "unbwogable" gibhwoghooo
 
Huyu Mdada toka aende likizo ya uzazi hajarudi tena Cloudsfm.

Naona Clouds wanatabia hii. Ukiishazaa wanakutema. Nakumbuka Dina Marious alipotoka Likizo ya uzazi wakamtema kwenye Leo tena na kumweka Dahuu.

Nimemmiss sana De Andy. Japo Mamy babe kama ameziba pengo hivi.
 
kwni kazaa na zilla mana zilla anamtoto wa kiume nw ndo yule mtoto wao au???
 
Na kuna yule wa tbc anatangaza kipindi cha "twende kanisani" alikua anatangaza "zamadamu" pia
sijui anakuaga kala maharage yule
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…