Planett
JF-Expert Member
- Mar 20, 2014
- 10,497
- 16,180
Na kuna yule wa tbc anatangaza kipindi cha "twende kanisani" alikua anatangaza "zamadamu" pia
sijui anakuaga kala maharage yule
cc Festus Makerubi
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na kuna yule wa tbc anatangaza kipindi cha "twende kanisani" alikua anatangaza "zamadamu" pia
sijui anakuaga kala maharage yule
ni kama vile wamemtema kabisa wakati huyu binti ana kipaji kikubwa sana tena sana.........Yupo wapi huyu mtangazaji kwa sasa,,,,,?
Yupo salasala kwa king zillaDada nilikuwa namkubali sana cjui aliendaga wap
HahahaYupo salasala kwa king zilla
Dada nilikuwa namkubali sana cjui aliendaga wap
ni kama amefukuzwa kazi vile na hayuko happy kabisaWamempeleka Choice fm.
wameachanaYupo salasala kwa king zilla
KhaaaWamempeleka Choice fm.
ni kama amefukuzwa kazi vile na hayuko happy kabisa
kwni kazaa na zilla mana zilla anamtoto wa kiume nw ndo yule mtoto wao au???Huyu Mdada toka aende likizo ya uzazi hajarudi tena Cloudsfm.
Naona Clouds wanatabia hii. Ukiishazaa wanakutema. Nakumbuka Dina Marious alipotoka Likizo ya uzazi wakamtema kwenye Leo tena na kumweka Dahuu.
Nimemmiss sana De Andy. Japo Mamy babe kama ameziba pengo hivi.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Na kuna yule wa tbc anatangaza kipindi cha "twende kanisani" alikua anatangaza "zamadamu" pia
sijui anakuaga kala maharage yule