Doreen (Dee Andy); Hivi unatangaza au unapiga makelele na kuchekacheka?

Doreen (Dee Andy); Hivi unatangaza au unapiga makelele na kuchekacheka?

anakipaji cha ukatuni ,sauti kama ile inafaa ubongo kids
 
DeeAndy.jpg
 
Ni mzuri sana huyu msichana,ana ishi sinza,yupo poa ila ka virtz kake kanamsumbuaga dah,.
 
Sipendi sauti yake..

Ni kweli sauti yake ni KALI sana hivyo alipaswa aongee kwanza pole pole kisha asipandishe sauti. Anapoongea kwa mzuka ndio kabisa unaweza kuziba masikio, kubadili stesheni/masafa au kuzima redio. Najua CMG wanao walimu wa sauti, basi wamwelekeze kuifanya sauti yake isikere wasikilizaji.
cc Sebastian Maganga
 
Me ni huyu dada Mahija Zayumba wa clouds tv habari sauti yake ni tam kweli na urembo ndo animaliza kabisa
 
hivii hii radio ya wafu ipo eh...huku ni mwendo wa e.fm n capital...lol
 
du!..wivu kidonda!
Masistaduu uchwara lazima m-hate tu!

f u niccah..zikiitwa radio zinajozijielewa zitatoka zaid ya kutangaza -----..mweny akil ndogo kama ww usiyejua future yako ikoje ndo unashoboka kuzikiliza huo upuuzi wao wa kila siku..na ukome staki shobo za kuni.…quote..kafie mbele huko paka la baa ww
 
teh teh teh teh....mi nimemaliza,hayo mengine yako!kama hutaki ku'kotiwa' usiandike shudu humu!
Eti umejitutumia kuntukana 'kidhungu!'....ha ha ha ha ha
 
Back
Top Bottom