Doreen Kabareebe: Marufuku mwanaume yeyote asiye na gari kunipigia simu

chizcom

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
8,680
Reaction score
18,035
Picha ya kwanza inaonesha dada mmoja anaitwa Dooren Kabareebe kutoka Uganda katika kipindi cha redio akiojiwa na kutanganza vigezo vyake marufuku mwanaume yoyote asiye na gari kumpigia simu,yeye wanaume wake ni wenye magari tu.

IMG_1622.jpg

Picha ya pili.

Baada ya kumaliza kipindi redioni akanaswa na kamera za shilawadu akipanda bodaboda anarudi nyumbani kwake.

IMG_1623.jpg

Tunao sikilizaga redio na kuangalia vipindi kwenye tv.
 
Hakuna mwenye gari atakaye kwenda kuchimba kaburi lake
 
Hakuna tatizo hapo kwani kapanda bodaboda kwasababu hakuna mwanaume mwenye gari aliyempata
 
Picha ya kwanza inaonesha dada mmoja anaitwa Dooren Kabareebe kutoka Uganda katika kipindi cha redio akiojiwa na kutanganza vigezo vyake marufuku mwanaume yoyote asiye na gari kumpigia simu,yeye wanaume wake ni wenye magari tu.

Picha ya pili.

Baada ya kumaliza kipindi redioni akanaswa na kamera za shilawadu akipanda bodaboda anarudi nyumbani kwake.

Tunao sikilizaga redio na kuangalia vipindi kwenye tv.
Haya ni maisha tu na uzuri gari sio password ya kuzuia kifo wala kuupata ufalme wa mbingu. Hizo nyodo na kejeli ni sababu ya uzima anaompa mungu
 
Back
Top Bottom