Doromee kilevi hatari kinachotumika kuwaibia watu magari

Hii kitu hata huku Chugga ipo sana last night niliponea kuwekewa kitu kwa kinywaji changu nilipoenda wash room lakini mhudumu akaniokoa

Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu DAR ni mji mbaya sana umejaa mashetani ndio maana kuna dhambi mbaya ya kila aina. Hata unipe chochote siwezi kukaa Dar.
Kumbe huko Dar ndiyo maana unasema huo mtindo ukifika Dar? Kwa taarifa yako Dar uko siku nyingi na watu wameshaushtukia siku hizi. Wacha hiyo ya kuweka kwenye pombe, ulikuwepo mtindo wa kupaka kwenye matiti. Unachukuwa mrembo matiti saa 6 anakuambia ''mimi bila kunyonya matiti yangu sijisikii kabisa'' Kama ni wa mkoani kama wewe unafakamia kama paka mwenye njaa. Utakuja kujitambua kesho yake na kila kitu kimekwenda.
 
Nipo mkoani lakini usinidhanie bwege. Keep quite.
 
Hiyo huku chuga tunaita ngusujii au geji. Ukiwekewa lazima ukate moto kwanza advertise ya kwanza unaona kama unatembea kichwa chini miguu juu.

Huo ni ugoro tu kwa wanaojua.
 
Hivi na mchele mbichi vip?
Nasikia na wenyewe ni shida ukiwekewa
 
Neno doromee mara ya kwanza nimelisikia kwenye stori ya George mosenya inayoitwa RIPOTI KAMILI. mhme aliwekewa dawa hiyo akauchapa usingizi wa kutosha kisha mke akaenda kuliwa nje dah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…