Kwasababu jamii imejaa ujingaIshu ndogo sana ila nguvu inatumika kukanusha kubwa sana
LKwasababu jamii imejaa ujinga
Tz tupo 60M+ sasa walokua na maono hayo ni wangapi? Yani la kushangaza mtu ana elimu unamuheshimu haswaa anaamini hili jambo ni kweli
Yalifanyika lini3571840[/ATTACH][/CENTER]
Mama hana bayaBaada ya kuongea mambo ya msingi, wamekazana na huo upuuzi usiokuwa na ushahidi wowote.
Unasemaje ishu ndogo wakati watu wanauawa !Ishu ndogo sana ila nguvu inatumika kukanusha kubwa sana
Toka mwanzo hili suala kama lingepuuzwa ilikuwa rahisi sana kusahaulika, kutoka na kwa kiongozi na kulizungumzia, tegemea hali kuwa mbaya zaidi ya awali.Mama hana baya
Jamii imegawanyika kuhusiana na hili Sakata
Watu wanapigwa(kama video nnazo ona nizakweli)
Nambaya zaidi kuna wasomi wanaamini hili jambo kua lipo kweli mifano ninayo
Sasa sirikali wanyamaze watu wauane nakuumizana au watoe muongozo kuhusiana na hili suala
Unapuuziliaje jambo ambalo liwe lakweli ama sio lakweli linapoteza ama kuumiza maisha ya watu???Toka mwanzo hili suala kama lingepuuzwa ilikuwa rahisi sana kusahaulika, kutoka na kwa kiongozi na kulizungumzia, tegemea hali kuwa mbaya zaidi ya awali.