Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Sasa kwanini mnaendelea kulalamika sasa? tulizeni vichwa sasa sio kelele nyingi
=============
Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo , Dorothy Semu amesema chama hicho hakijutii wala hakitajutia uamuzi wake wa kushiriki Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 huku akieleza kuwa chama hicho kitaendelea kupigania mabadiliko ya mifumo ya chaguzi.
Semu ameeleza hayo leo Machi 31, 2026 aliposhiriki mazishi ya aliyewahi kuwa Mbunge wa Jimbo la Kilwa Kusini Selemani Bungara(Bwege) ambaye aliwahi kuwa mwanachama wa chama hicho na mara kadha akikosoa uamuzi wa chama hicho kushiriki uchaguzi huku akiunga mkono ule wa CHADEMA wa kupinga kufanyika kwa uchaguzi bila mabadiliko.
"ACT Wazalendo haijutii kushiriki uchaguzi wa Oktoba 2025" amesema Semu