Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Kiongozi wa ACT Wazalendo, Dorothy Semu, amemuonya mtendaji wa Kijiji cha Angalia kutopendelea Chama cha Mapinduzi (CCM) wajibu wake nikutumikia wananchi sio ubaguzi wa itikadi katika uchaguzi.
Kauli hiyo ameitoa baada ya mtendaji huyo kuzuia mikutano ya chama hicho kutumia maeneo ya Umma, Semu amefafanua tunapoingia kwenye swala la uchaguzi wa serikali za mitaa tunatumia maeneo ya uma, wajibu wa mtendaji nikupanga ratiba kwa vyama vyote vya siasa.
Akizungumza na wananchi wa kijiji cha angaia Kata ya Mtina, Jimbo la Tunduru Kusini Novemba 25, 1024, Semu amesema
Hakuna chama chenye hati miliki chenye kulazimisha wananchi kuchagua chama gani.l, nchi hii inaendeshwa kwa katiba kanuni na miongozo, wananchi wanayohaki wakuchagua chama wanachokitaka, wajibu wa serikali nikuwatumikia wananchi na kuwaletena wananchi wake maendeleo.