Parabolic
JF-Expert Member
- Dec 3, 2013
- 2,922
- 3,252
Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo Juni 12, 2026 amefungua mafunzo maalum Kwa Mawaziri Vivuli wa Chama hicho Mafunzo yatakayoendela Kwa siku tatu hadi Juni 14 mwaka huu jijini Dar es Salaam.
Mbali na Mafunzo hayo Mawaziri hao,pia wamekabidhiwa nakala ya vitendea Kazi Kwa nafasi zao pamoja na kutakiwa kufanya uchambuzi wa Bajeti kuu ya Serikali Kwa mwaka 2026/27.
Makamu Mwenyekiti wa ACT Wazalendo, Issihaka Mchinjita akizungumza katika mkutano huo.