Hakuna chama Cha hovyo kama hiki, tabia zao hazina tofauti na chaumaView attachment 3606371
Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo Juni 12, 2026 amefungua mafunzo maalum Kwa Mawaziri Vivuli wa Chama hicho Mafunzo yatakayoendela Kwa siku tatu hadi Juni 14 mwaka huu jijini Dar es Salaam.
View attachment 3606372
Mbali na Mafunzo hayo Mawaziri hao,pia wamekabidhiwa nakala ya vitendea Kazi Kwa nafasi zao pamoja na kutakiwa kufanya uchambuzi wa Bajeti kuu ya Serikali Kwa mwaka 2026/27.
View attachment 3606373
Makamu Mwenyekiti wa ACT Wazalendo, Issihaka Mchinjita akizungumza katika mkutano huo.
Yeye huyo semu alipata wapi hayo mafunzo hata awafundishe wengine?🐒View attachment 3606371