GE2025 Dorothy Semu: CCM hawajafanya jitihada ili uchaguzi uwe wa huru

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
"Chama cha Mapinduzi. Hakitaki kusikia wala hakijafanya jitihada zozote kuhakikisha uchaguzi unakuwa huru na kuaminika. Sisi tunawaambia kuwa tumejipanga. Tunakwenda kwenye uchaguzi tukiwa na mikakati."

Ameeleza haya katika mkutano wa hadhara uliofanyika Jimbo la Same Mashariki Mkoani Kilimanjaro

ACT Wazalendo imesisitiza kuwa itaendelea kuhimiza uwazi, haki na demokrasia ya kweli nchini.
 
Hahaha.......Hawa watu bwana. Daah.
 
Haahaa tutaiona hiyo mikakati muda ukifika🤣🤣
 
"Chama cha Mapinduzi. Hakitaki kusikia wala hakijafanya jitihada zozote kuhakikisha uchaguzi unakuwa huru na kuaminika. Sisi tunawaambia kuwa tumejipanga. Tunakwenda kwenye uchaguzi tukiwa na mikakati."

Ameeleza haya katika mkutano wa hadhara uliofanyika Jimbo la Same Mashariki Mkoani Kilimanjaro

ACT Wazalendo imesisitiza kuwa itaendelea kuhimiza uwazi, haki na demokrasia ya kweli nchini.
Kwani hilo walikuwa hawalijui?
 
Acheni basi utoto. Yaan niweke uchaguzi huru ili nitoke madarakani!!!!.
 
Back
Top Bottom