Hahaha.......Hawa watu bwana. Daah."Chama cha Mapinduzi. Hakitaki kusikia wala hakijafanya jitihada zozote kuhakikisha uchaguzi unakuwa huru na kuaminika. Sisi tunawaambia kuwa tumejipanga. Tunakwenda kwenye uchaguzi tukiwa na mikakati."
Ameeleza haya katika mkutano wa hadhara uliofanyika Jimbo la Same Mashariki Mkoani Kilimanjaro
ACT Wazalendo imesisitiza kuwa itaendelea kuhimiza uwazi, haki na demokrasia ya kweli nchini.
Haahaa tutaiona hiyo mikakati muda ukifika🤣🤣"Chama cha Mapinduzi. Hakitaki kusikia wala hakijafanya jitihada zozote kuhakikisha uchaguzi unakuwa huru na kuaminika. Sisi tunawaambia kuwa tumejipanga. Tunakwenda kwenye uchaguzi tukiwa na mikakati."
Ameeleza haya katika mkutano wa hadhara uliofanyika Jimbo la Same Mashariki Mkoani Kilimanjaro
ACT Wazalendo imesisitiza kuwa itaendelea kuhimiza uwazi, haki na demokrasia ya kweli nchini.
Anyway hawa jamaa siku hizi nawaogopa sana. Sipendi hata kuwakosoa.Anampigia nani kelele huyo mama?. Si wamesign wenyewe kanuni.
Kwani hilo walikuwa hawalijui?"Chama cha Mapinduzi. Hakitaki kusikia wala hakijafanya jitihada zozote kuhakikisha uchaguzi unakuwa huru na kuaminika. Sisi tunawaambia kuwa tumejipanga. Tunakwenda kwenye uchaguzi tukiwa na mikakati."
Ameeleza haya katika mkutano wa hadhara uliofanyika Jimbo la Same Mashariki Mkoani Kilimanjaro
ACT Wazalendo imesisitiza kuwa itaendelea kuhimiza uwazi, haki na demokrasia ya kweli nchini.