Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Kwani mtafanya niniKiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Dorothy Semu, amesema kuwa ACT Wazalendo ndicho chama kilichobeba matumaini ya Watanzania. Amesema, "Tuna waambia Tume ya Uchaguzi Zanzibar, wasijaribu kuharibu Uchaguzi hatutakubali, kama kiongozi wenu nipo tayari kuyaongoza haya mapambano, nimeendelea kuonyesha kwa vitendo kwamba Umma umeitika,umejiandaa kwa uchaguzi na tutaendelea kufanya hivyo hadi ushindi upatikane"
Kauli hiyo ametoa leo Agosti 9, 2025 wakati Wagombea urais wa Tanzania na Zanzibar kwa tiketi ya ACT Wazalendo, Luhaga Mpina na Othman Masoud, walipowasili mjini Unguja kwa ajili ya utambulisho kwa wanachama na wananchi wa kisiwa hicho, wakitokea jijini Dar es Salaam baada ya kumalizika kwa mkutano mkuu maalumu uliowapitisha kuwania nafasi hizo.
Safari hii mtakubali tu, mtafanya nn?Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Dorothy Semu, amesema kuwa ACT Wazalendo ndicho chama kilichobeba matumaini ya Watanzania. Amesema, "Tuna waambia Tume ya Uchaguzi Zanzibar, wasijaribu kuharibu Uchaguzi hatutakubali, kama kiongozi wenu nipo tayari kuyaongoza haya mapambano, nimeendelea kuonyesha kwa vitendo kwamba Umma umeitika,umejiandaa kwa uchaguzi na tutaendelea kufanya hivyo hadi ushindi upatikane"
Kauli hiyo ametoa leo Agosti 9, 2025 wakati Wagombea urais wa Tanzania na Zanzibar kwa tiketi ya ACT Wazalendo, Luhaga Mpina na Othman Masoud, walipowasili mjini Unguja kwa ajili ya utambulisho kwa wanachama na wananchi wa kisiwa hicho, wakitokea jijini Dar es Salaam baada ya kumalizika kwa mkutano mkuu maalumu uliowapitisha kuwania nafasi hizo.
Kumbe huyu naye ni Mchagga?Wachaga bhana 😂🥷
Ni sawa na kimwambia samaki asiogeleeKiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Dorothy Semu, amesema kuwa ACT Wazalendo ndicho chama kilichobeba matumaini ya Watanzania. Amesema, "Tuna waambia Tume ya Uchaguzi Zanzibar, wasijaribu kuharibu Uchaguzi hatutakubali, kama kiongozi wenu nipo tayari kuyaongoza haya mapambano, nimeendelea kuonyesha kwa vitendo kwamba Umma umeitika,umejiandaa kwa uchaguzi na tutaendelea kufanya hivyo hadi ushindi upatikane"
Kauli hiyo ametoa leo Agosti 9, 2025 wakati Wagombea urais wa Tanzania na Zanzibar kwa tiketi ya ACT Wazalendo, Luhaga Mpina na Othman Masoud, walipowasili mjini Unguja kwa ajili ya utambulisho kwa wanachama na wananchi wa kisiwa hicho, wakitokea jijini Dar es Salaam baada ya kumalizika kwa mkutano mkuu maalumu uliowapitisha kuwania nafasi hizo.
Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Dorothy Semu, amesema kuwa ACT Wazalendo ndicho chama kilichobeba matumaini ya Watanzania. Amesema, "Tuna waambia Tume ya Uchaguzi Zanzibar, wasijaribu kuharibu Uchaguzi hatutakubali, kama kiongozi wenu nipo tayari kuyaongoza haya mapambano, nimeendelea kuonyesha kwa vitendo kwamba Umma umeitika,umejiandaa kwa uchaguzi na tutaendelea kufanya hivyo hadi ushindi upatikane"
Kauli hiyo ametoa leo Agosti 9, 2025 wakati Wagombea urais wa Tanzania na Zanzibar kwa tiketi ya ACT Wazalendo, Luhaga Mpina na Othman Masoud, walipowasili mjini Unguja kwa ajili ya utambulisho kwa wanachama na wananchi wa kisiwa hicho, wakitokea jijini Dar es Salaam baada ya kumalizika kwa mkutano mkuu maalumu uliowapitisha kuwania nafasi hizo.
Unamwambia samaki asiogeleeKiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Dorothy Semu, amesema kuwa ACT Wazalendo ndicho chama kilichobeba matumaini ya Watanzania. Amesema, "Tuna waambia Tume ya Uchaguzi Zanzibar, wasijaribu kuharibu Uchaguzi hatutakubali, kama kiongozi wenu nipo tayari kuyaongoza haya mapambano, nimeendelea kuonyesha kwa vitendo kwamba Umma umeitika,umejiandaa kwa uchaguzi na tutaendelea kufanya hivyo hadi ushindi upatikane"
Kauli hiyo ametoa leo Agosti 9, 2025 wakati Wagombea urais wa Tanzania na Zanzibar kwa tiketi ya ACT Wazalendo, Luhaga Mpina na Othman Masoud, walipowasili mjini Unguja kwa ajili ya utambulisho kwa wanachama na wananchi wa kisiwa hicho, wakitokea jijini Dar es Salaam baada ya kumalizika kwa mkutano mkuu maalumu uliowapitisha kuwania nafasi hizo.
Hivi hawa wanatuona sisi ni viazi sana eeKiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Dorothy Semu, amesema kuwa ACT Wazalendo ndicho chama kilichobeba matumaini ya Watanzania. Amesema, "Tuna waambia Tume ya Uchaguzi Zanzibar, wasijaribu kuharibu Uchaguzi hatutakubali, kama kiongozi wenu nipo tayari kuyaongoza haya mapambano, nimeendelea kuonyesha kwa vitendo kwamba Umma umeitika,umejiandaa kwa uchaguzi na tutaendelea kufanya hivyo hadi ushindi upatikane"
Kauli hiyo ametoa leo Agosti 9, 2025 wakati Wagombea urais wa Tanzania na Zanzibar kwa tiketi ya ACT Wazalendo, Luhaga Mpina na Othman Masoud, walipowasili mjini Unguja kwa ajili ya utambulisho kwa wanachama na wananchi wa kisiwa hicho, wakitokea jijini Dar es Salaam baada ya kumalizika kwa mkutano mkuu maalumu uliowapitisha kuwania nafasi hizo.
Tumepigwa tena😭😭😭Mmachame kabisa 😂
Siasa ni sayansi
Mwaka jana mbona hamkulinda?Tuko tayari kulinda kura Kwa gharama yeyote hata Kwa kuchapana makonde