Elections 2010 Dosari za Magufuli hizi hapa

unajua mkuu tunaenda kwa system hii habari hakuamua yeye peke yake ilitoka juu! Mi sioni tatizo kama iliamuliwa na kina ben na yeye kama mtekelezaji akatekeleza!

Hata kwa sasa akiwa PM, JK ataamua na yeye atatekeleza!
 


KAKA ACHA LONGOLONGO MAGUFULI ANAWEZA NA ANAWEZA HASWA, UNADHANI NI JAMBO DOGO KUZUIA SPEED BOAT YA UZITO USIORUHUSIWA KUPITA BARABARANI? UNADHANI NI RAHISI KUAMURU GARI ZA SERIKALI ZILIZOCHUKULIWA NA MAAFISA ZILRUDI SERIKALINI, HATA KAMA ALIRUHUSU NYUMBA KUUZWA HILO NI TONE LA DAMU NDANI YA BAKURI, NITAJIE MWINGINE ALIYEKWISHAJITAHIDI KUFANYA ANGALAU HAYO YA MAGUFULI. nI MAKANDARAS FEKI WANGAPI ALIOWAFUTA AMBAO NADHANI NIA YAO UNAIJUA.

mAGUFULI ANAFAA, HATA KAMA HUMPENDI, NA ASIPOKUWA PM BASI ANAFAA KUWA WAZIRI WA UJENZI, nCHI HII INAHITAJI MIUNDO MBINU ILIYO IMARA ILI KUHARAKISAHA MAENDELEO, NA MIUNDO MBINU HIYO NI LAZIMA ISIMAMIWE VIZURI MAGUFULI ANAWEZA.
 

Mdau sijakupata hapa, fafanua kidogo!
 

  1. Alifanya ujanja kumuzia nyumba za serikali ndugu yake (Ufisadi)
  2. Anamtumia Kubenea na waandishi wengine kujipamba na kuwachafua wenzie...kibaya cha jitembeza
  3. Samaki walikamatwa na wafanyakazi, credit zote akachukua yeye kwa sababu yeye ndio waziri, hilo sio tatizo. Samaki wameingarimu serikali billions. Hawa samaki wameifadhiwa kwa mfanyabiashara mwenye asili ya asia, Baghat, ambaye ni rafiki yake...Huyu Baghat amejenge urafiki na Magufuli kwa sababu yeye pia ana kampuni ya uvuvi.

This guy is not clear....but pretend to be clear. The list is long but again most of us we wait to hear from newspapers. Mnaweza kupigia debe kama mlivyo mpigia debe JK 2005...mimi simo
 
magufuli ni mwizi ninyi hamjui tu,kuna ghorofa alilinunua mil.750 na akaandika jina la ukoo wake si la mwanae wala mke,bali ni majina yanayopatikana kwenye ukoo wake na mkataba ukafungwa katika firm moja cwezi itaja! leo mseme msafi! najua mtataka source,source ni mm!
 
Hizi ndio naziita siasa maji taka, JF jamani tuwe tuna present facts na sio makelele. Maguli nimtendaji mzuri, na hilo ni wazi kabisa. Kwa wale ambao mnadai si mtendaji basi leteni facts hapa.

Tusifanye mambo kama mashabiki wa Ridhiwani, kwamba tunashangilia tuu. Wazungu wanasema give Credit when Credit is due, na ni wazi kabisa huyu jamaa ni mtendaji. Sidhani kama anafaa kuwa raisi, lakini inabidi apewe ile wizara ya mambo ya ndani.
 
It is a fact beyond doubt kuwa Mgufuli ana mapungufu bse yeye ni binaadamu kama wewe na mimi.
Tuangaliacho apa ni magnitude ya makosa kama ya EPA,RICHMOND,RADA,MEREMETA.
Sasa kama uko kwenye makosa ambayo ukisum up ata 10 billion hayafiki wakati kuna watu wanaikimbilia trillion nachoka kidogo.
On the other hand kumbuka ata Nyerere ana makosa
 
Tatizo CCM hawawezi kutoa Waziri Mkuu kwenye makabila "influential" - ukichukia haya shauri yako, japo haijaandikwa mahali bali huo ndio kumuenzi JKN (RIP).

Kabila kama lipi? Tutarudi kulekule alikotukataza Mwalimu. Eduado Sokoine - Mmasai, Cleopa Msuya -Mpare, Salim A Salim - Mpemba, Kawawa - Mngoni, Lowasa - Morani, Warioba - Mura!!!, Una maana gani unaposema kabila influencial?
 
I dont know why are u guys trying to discuss Magufuli........WHY??? WHY???? WHY AGAIN???? WHAT about the real DR???? SLAA???? Kwani hagombei 2015???????????????? Lets discuss this guy...he is a real fighter....for real........
 

Umesema kweli kabisa mkuu. Unajua huyu mleta hoja alianzisha huu mjadala baada ya zile tetesi za kuwa yamebaki majina mawili mezani kwa Kiwete kwa ajili ya U-PM nayo ni Magufuli na mama Tibaijuka. Ukiangalia jina la huyu mleta hoja unaweza kufahamu wazi ni kwa nini ameamua kumchafua Magufuli. Ukabila mbaya sana.
 

Roho chafu ya ukabila inakutafuna wewe.
 

Acha hujuma zisizo na msingi dhidi ya kipenzi cha wananchi. Inaonekana wewe ni mwathirika wa maamuzi bora ya Mhe. Magufuli.
 
Nakubalii kila mtu ana madhaifu yake lakini mi nafikiri kiongozi tunayemtaka si maghufuli kama kuwa waziri mkuu ni bora yeye kuliko sura mbaya. Lakini ukisema kuwa kiongozi wa nchi HAFAI. Kati ya wana CCM bora yeye. Lakini kati ya watanzania hana Kiwango kama Dr. Slaa.
Maghufuli aliuza nyumba za serikali na hajajutia hilo make ni fisadi mdogo kati ya mafisadi.
Maghufuli kwa kuwa alikuwa waziri wa barabara alibadilisha njia ya Lami iliyokuwa ipitie Biharamulo ili ipite nyumbani kwao Chato
Kwa kuwa ni waziri karibuni alitaka kubadilisha makao makuu ya mkoa mpya wa Geita iwe nyumbani kwao Chato.
HAFAI ila ni bora kuliko Mr. Handsome Pinda make haangalii sura ya mtu akitaka kufuatilia jambo.
 
Nakubali kila mtu ana madhaifu yake lakini mi nafikiri kiongozi tunayemtaka si maghufuli kama kuwa waziri mkuu ni bora yeye kuliko sura mbaya. Lakini ukisema kuwa kiongozi wa nchi HAFAI. Kati ya wana CCM bora yeye. Lakini kati ya watanzania hana Kiwango kama Dr. Slaa.
Maghufuli aliuza nyumba za serikali na hajajutia hilo make ni fisadi mdogo kati ya mafisadi.
Maghufuli kwa kuwa alikuwa waziri wa barabara alibadilisha njia ya Lami iliyokuwa ipitie Biharamulo ili ipite nyumbani kwao Chato
Kwa kuwa ni waziri karibuni alitaka kubadilisha makao makuu ya mkoa mpya wa Geita iwe nyumbani kwao Chato.
HAFAI ila ni bora kuliko Mr. Handsome Pinda make haangalii sura ya mtu akitaka kufuatilia jambo.
 
Magufuri can make a good president. He has a sound record as a leader..... he is decisive! but some structural limitations within his part can act as hindrance!

Letz continue to discuss all likely candidates because they have stake with our lives. We should dare to talk openly for their strengthens and weaknesses throughout their tenure. In course of our discussions we should always try to be objective. No one is perfect but we have a role to measure them in relation to leadership life.


How do you see Membe vs. Magufuri?
 
Post ilikuwa nzuri (kwa maoni yangu) kwa mujibu wa aliyeianzisha. Tatizo hapo limekuja ushabiki pengine kwa kufikiria nafasi ya uwaziri mkuu kwa kuwa leo imeshapita naamini sasa tutamuhukumu kwa haki. Ingekuwa vyema akatendewa vyema kama binadamu na kama mtumishi wa serikali ya TZ Pale alipochemsha leteni data kwa kuwa mara nyingi huwa hatujinadi kwa mambo mabaya ila mazuri yanayofahamika na yasiyo fahamika.
Kwa hiyo ili haki dhidi yake ionekane imetendeka tulete vielelezo inaweza kusaidia kwamba kwenye selection ya new cabinet kama madhambi yake ni makubwa vijana wake wapo humuhumu JF wanafanya kazi na wengine wapo 24hrs na kazi ni hizohizo. Mnayo nafasi ya kuwa na baraza lenu la mawaziri kama mtakuwa na vigezo vizuri na vielelezo makini ili kumsaidia muungwana kupanga safu.
Safu yenu with data plus ile ya Reezone unapata baraza kamili lenye uwongo na ukweli kwa pamoja.
 


U got it, then wanarudi chember wanagawana zile fedha, Magufuli he is not genuine, outside kondoo ndani mbwa mwitu, this guy Dr Slaa alishasema he is hypocrite, anachoma nyavu za wavuvi maskini, meanwhile nyavu zimejaa madukani na anajua na ndio maana hajamjibu Dr Slaa maana anawajua mmoja mmoja, angejibu tu, angemuumbua kwa kashfa live
 
roho chafu ya ukabila inakutafuna wewe.

jamani nimesema magufuli anafaa kwa kazi ngumu za kukimbia kimbia, but he is not a strategic thinker. That is a part of magufuli's swot analysis. Na kwa bahati nzuri thread hii haiwezi kumzuia rais kufanya maamuzi yake. This is my opinion, i should be allowed to differ with some of you.
 
KASHAIJA, naomba uniambie ni nani strategic thinker ndani ya CCM? Kama ni thinking wengi wanafanya lakini hawatekelezi. Wengi ndani ya CCM ni strategic thinker kama anafikilia kuiba tu. Lakini magifuri alijitahidi kwa uwezo wake ukilinganisha na watu wengine.Tukumbuke kuwa hata ungekuwa mlaika ndani ya CCM kunasehemu lazima utapotoka. Tusimuhuku magufuri kwa ubaya tu bila kuangalia uzuri wake kwa taifa la Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…