Dotnata amekuwa mhenga

Kuna siku nilimuona Dotnata, amekuwa mtu mzima. Kweli maisha ya mwanadamu ni kama maua
Huyo mbona mhenga wa kitambo sana kwa sisi tunaemjua toka akiwa msichana akifanya kazi Agip pale Msimbazi petrol station early 1990s. Kwa sasa ni mhenga sana atakua anakaribia kuhit 60-65 au tayari .
 
Nilimshangaa sababu namjua tokea. Zamani watu wanazeeka Ila sio vile
Itakua mikorogo imefanya yake, hawa wanawake muda wa kutamba ni mfupi sana. Uwa zikifika dakika za majeruhi na mikorogo yao uwa wanatisha sana. Kama hawa ma celebrity njaa wa bongo wape miaka 5 mingine ndio utajua uzee ni safari yetu wote... Inshaallah mwenye enzi mungu atujalie mwisho mwema...
NB. Hebu turushie ka picha ka Dotnata tumuonemo na sie.
 
Kuna siku nilimuona Dotnata, amekuwa mtu mzima. Kweli maisha ya mwanadamu ni kama maua.
Wanawake wengi Sana huwa wanadhani watakaozeeka haraka ni wanaume tu, huwa Wako bize Sana kukoboa sura zao wakidhani watabaki vischana milele kumbe ni swala la muda tu, Mungu amlinde amuongezee siku za kuishi mpaka atembelee mkongojo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…