Dotnata amekuwa mhenga

Dotnata amekuwa mhenga

5269_504778836238036_1790934819_n.jpg
 
Ana pacha wake kumbuka.... Hata mim nilimuona. Anaish gomsi nadhan kama sio mombasa ya ukonga ile.. aisee kababuka ngoz. Ila enz zake alikua level za kina sepenga
Ndio ana pacha wake kweli huyu nimekumbuka, wahaya hawa waliojaaliwa weupe, maana nshomile wengi ni ma black beauty. Enzi zake alikitisa jiji alikua akitoka na ma don wa mjini.. hii Enzi ya FM Academia tayari umri ulikua unaanza kukimbia ni vile alikua anakula dakika za lala salama aka Fergie time.
 
Back
Top Bottom