- Thread starter
- #61
Babe njoo basi tufuge wote.Nguruwe wanakula sana lakini nakumbuka mwalimu alisema nguruwe wnakula laki na 80 mmoja kwa siku hiyo ni zamani je sasa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Babe njoo basi tufuge wote.Nguruwe wanakula sana lakini nakumbuka mwalimu alisema nguruwe wnakula laki na 80 mmoja kwa siku hiyo ni zamani je sasa?
Kama hautajali naomba picha zake PM, mambo yangu yakiwa safi nitakucheki tufanye biasharaNi wa kisasa.
Uliwahi kuuliza hiyo laki na 80 wanakula nini Nguruwe mmoja?Nguruwe wanakula sana lakini nakumbuka mwalimu alisema nguruwe wnakula laki na 80 mmoja kwa siku hiyo ni zamani je sasa?
Wanakula sana tu lakini si kwa kiwango hichoNguruwe wanakula sana lakini nakumbuka mwalimu alisema nguruwe wnakula laki na 80 mmoja kwa siku hiyo ni zamani je sasa?
Kuna watu wana hela wanaogopa wake zao, ndugu zao hadi watoto wao wakijua.Ila hawa wa piga kelele hawa! Mmmmh,
Cha ajabu huwezi kuwasikia watu kama Fernandez boss wa Nala, au, lady Jay d, au, boss wa jamii forum, au bakheresa wakijitapa kwa, ukwasi, wao,
Wanaojitqpa, ni hawa, hawa, Mara utasikia natumia 40 milioni kwa siku!
Nilishangaaga sana ila ni kweli yale makubwa walahi upo moshi nikuhakikishie mahali pakuwauliziaWanakula sana tu lakini si kwa kiwango hicho
Ukija siku moja twende maili sita kwa mama mmoja anaitwa mama cam anao hao nguruwe nilisomaga kwake tukiwa tunaenda mashambani tunaenda kuwaona na hayo manguruwe yakeUliwahi kuuliza hiyo laki na 80 wanakula nini Nguruwe mmoja?
Isije kuwa mnawalisha Kuku za KFC Mjukuu 🤗
Ndio babe Niko Moshi na ndo nyumbani. Tukutane please.Nilishangaaga sana ila ni kweli yale makubwa walahi upo moshi nikuhakikishie mahali pakuwaulizia
Sawa Mjukuu ila hakuna Nguruwe anakula chakula cha laki na 80 seuse laki 3 ya Dotto MagaliUkija siku moja twende maili sita kwa mama mmoja anaitwa mama cam anao hao nguruwe nilisomaga kwake tukiwa tunaenda mashambani tunaenda kuwaona na hayo manguruwe yake