saigilomagema
JF-Expert Member
- Jun 5, 2015
- 5,673
- 7,811
Hii jamii ya kisukuma inaonekana imekaa kibaguzi, Magufuli aliibagua sana Arusha, alihamisha hata sherehe za kutunuku kamisheni wanajeshi ikulu Dsm wakati chuo kilichowafundisha wanajeshi kipo Monduli kipo Monduli, Arusha.
Sababu alikuwa anapachukia Arusha. Alikuwa Rais wa ajabu kuibagua nchi yake mwenyewe anayoiongoza.
Hatukashau unakuja Biteko unashangaa makao makuu ya chama cha mawakili kuwa Arusha? Kwamba unataka makao makuu ya kila taasisi yawe Dodoma?
Basi hamishia Dodoma na TANAPA na zile taasisi za kimataifa ikiwemo makao makuu ya jumuiya ya Afrika Mashariki.
Aliyetoa hilo eneo kwa mawakili kujenga makao makuu yao Arusha ni Rais wa nchi hii, kwanza huna adabu umemkosea adabu Rais.
Kwa chuki zako hizo hufai kuwa kiongozi mkubwa zaidi ya ulikofikia.
Unataka kila taasisi ijenge Dodoma? Kwanini mlazimishe?
Acha ubaguzi hukutakiwa kusumbuliwa na suala km hilo.
Mawakili hawafanyagi mikutano yao nje ya Arusha kumbe we ndio umewalazimisha mwaka huu wafanyie Dodoma? Si ungewapeleka Mwanza?
Watu wabaguzi kama wewe hawafai kuwa viongozi wakubwa, kimsingi umemkosea adabu Rais aliyekuteua maana ndiye aliyetoa hiyo ardhi Arusha.