Dotto Biteko, fungua Mgodi wa Katente; usisubiri uchaguzi ufike ndiyo uufungue ili tukupe kura

sifi leo

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2012
Posts
5,182
Reaction score
8,948
Mgodi wa Katente ni miongoni mwa migodi iliyokuwa imetoa ajira nyingi kwa vijana waliopo wilaya ya Bukombe. Na kwa namna moja au nyingine ulichangia pato la halmashauri pato kubwa sanaa.

Kwa nn ulifungwa?

Kwa mujibu wa habari zisizo rasimi kuna sababu kuu mbili

Moja ya wazi, kuwa wananchi wanaozunguka mgodi walikuwa hawalipwi wote mrabaha.

Sababu hisiyo wazi yaani ni ya kificho ni kuwa mkuu wa wilaya na mkurugenzi pamoja na Dotto mwenyewe walikuwa wanamiliki DUARA hapo pembeni mwa Duara lao kulikuwa na Duara la vijana walioungana kuendesha duara ilo.

Bahati mbaya wale vijana walikwama kwa maana ya kuishiwa mtaji,ikabidi watafute mbia wakampata Jamaa yetu DCO akakubal kuingiza pesa kwa kupewa hisa.

Kazi ikaendelea Duara la wale vijana likaanza kutema mzigo, yaani Dhahabu. DUARA la vigogo halijatema alafu yule DCO fasta anapiga mpunga ikabidi zianze figisu ukafungwa.

Sababu ya Tatu ni mauaji yaliyotokea hapo hapo ambapo mlinzi mmoja jina japuni alikatwa malanga na kufa hapo hapo,ila na hii ni ya kificho.

Sasa Rais ameruHusu migodi yote ifunguliwe, Dotto biteko ni mbunge na waziri wa madini kutoka jimbo ilo ilo swali linakuja anasubili mgodi kuufungua 2024 ili achaguliwe tena?

Hayo madini si mali yake afungue mgodi vijana jimboni kwako wanakufa njaa.

Ni mimi rafiki yako Kidawa Sifileo kutoka Bukombe.
 
Hatari sana
 
Back
Top Bottom