Dotto Biteko, kwa nini suala la mgao wa umeme halifiki kikomo?

Watumishi wengi wa umma ni wazembe wazembe na wezi wezi, bila usimamizi na uongozi wa kitemi na kibabe na baadaye kuweka mfumo wa kibabe utakaowasimamia tunakwama sana.

Tanesco pamoja na yote tunayoyaongelea sijui ukosefu wa umeme wa kutosha sijui miundo mbinu na blah blah nyingine LAKINI TATIZO KUUBWA KABISA NI WATUMISHI WENYE UWEZO MDOGO, AJIRA ZA KUJUANA JUANA, WATUMISHI WAZEMBEWAZEMBE NA WEZI WEZI.
Suluhu ni uongozi wa kibabe ambao hautacheka na kima zaidi ya ubabe ubabe wa watumishi wajingawajinga.
 
KIZIMKAZI YY ndio hajui chochote.YY ndio chanzo cha haya yote
 
Hii wizara ya nishati inatakiwa apewe uwaziri mtu aliyesomea mambo ya enginneer wa umeme na aliyefauru vizuri lakini kwa hawa wengine tutasulubika sana mfano
Mimi mashine zangu tatu zimesimama kisa umeme na mashine mbili ndo natumia generator
 
Moto wa Kalemani wanaujua madereva wake.
Kwake ilikuwa kazi kazi, muda wa kula kiyoyozi ofisini alikuwa hana.
Na alikuwa na maamuzi ya kutekelezeka.
Hawa wengine ni mawaziri wa media.
 
Moto wa Kalemani wanaujua madereva wake.
Kwake ilikuwa kazi kazi, muda wa kula kiyoyozi ofisini alikuwa hana.
Na alikuwa na maamuzi ya kutekelezeka.
Hawa wengine ni mawaziri wa media.
Kwa kweli ukiwa mtumishi mchapa kazi legency yako haifutiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…