Dotto Biteko na Hussen Bashe mbona umewaacha kwenye Baraza la Mawaziri?

ndoto2020

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2017
Posts
1,683
Reaction score
1,438
1. Rais Samia ulivyomteua kumpa ubunge wa kuteuliwa yule bwana kutoka sekta binafsi ya fedha , mtaalm, msomi na mchapa kazi tulijua tunamfanya waziri wa fedha na nchi ingefurahi lakini imekuwa kinyume

2. Dr Biteko alikuwa kiongozi mstaarabu sana na mchapa kazi umekosea sana kumwacha alistahili hata uwaziri mkuu

3 Hussein Bashe aliielewa sana wizara ya kilimo na alikuja na mawazo ya kijasiriamali kwenye wizara hiyo umemwacha vitu vingi sana vitarudi nyuma, alikuwa na uwezo wa kukaza

4 Sio lazima familia yako uiweke kwenye spot light kumteua naibu waziri utapunguza moral ya watendaji na unafanya nchi nzima ianze kukukujadili kwa mabaya , upendeleo na kutokusikiliza ushauri

5 Wabadilishe kabla hawajaapishwa inawezekana -
 
1. Rais Samia ulivyomteua kumpa ubenge wa kuteuliwa yule bwana kutoka sekta binafsi ya fedha , mtaalm, msomi na mchapa kazi tulijua tunamfanya waziri wa fedha na nchi ingefurahi lakini imekuwa kinyume

2. Dr Biteko alikuwa kiongozi mstaarabu sana na mchapa kazi umekosea sana kumwacha alistahili hata uwaziri mkuu

3 Hussein Bashe aliielewa sana wizara ya kilimo na alikuja na mawazo ya kijasiriamali kwenye wizara hiyo umemwacha vitu vingi sana vitarudi nyuma, alikuwa na uwezo wa kukaza

4 Sio lazima familia yako uiweke kwenye spot light kumteua naibu waziri utapunguza moral ya watendaji na unafanya nchi nzima ianze kukukujadili kwa mabaya , upendeleo na kutokusikiliza ushauri

5 Wabadilishe kabla hawajaapishwa inawezekana -
Mtakubali tu uharamu wa CCM na utawala wake, na bado mambo yatazidi kuharibika zaidi.
 
Back
Top Bottom