Dotto Biteko ndiye Waziri Mkuu ajaye 2025-2030?

Mzee Lukuvi
 
Ni kampeni chonganishi, mara Biteko, Mara Bashite, Mara Magufuli Sawa Sawa na ya VP chombo Jina linatolewa kabla ya muda muafaka
 
Huyo siyo wa kanda ya ziwa, huku alihamia tu kienyeji tokea Burundi.

Yaani nchi iwe na PM ambaye siyo raia?
Maljbu yako yanakutanabaisha kwamba wewe wewe ni mmbea halafu ni mpenda fununu(unaokoteza vi meneno)

Emu tuthibitishie kwamba jamaa ni M-Burundi
 
Nina elewa ukomavu, uwezo na utendaji wa jamaa. Ila unapomwandaa namna hiyo, utalazimika kufanya makeke yote awe Mbunge hatimaye umteue uwaziri mkuu. Shida yangu ni hayo makeke je yatafuata taratibu na sheria za uchaguzi ???
 
Atakuwa Bado anaenda BURUNDI kusalimia wajomba zake akiwa PM???

Safiii sana tuendelee kuweka rehani nchi yetu 🤔🤔🤔🤔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…