Dotto Bulendu: Soka limekabidhiwa wanasiasa na wasanii ndio tutarajie ushindi dhidi ya Uganda? Wanasoka wetu wastaafu hawapo? Hawathaminiwi?

Anayeongoza hili jambo ni nani............. What do you expect? Waziri na Naibu wake wapo wapi?
KOSA LA KIUFUNDI LITATUGHARIMU wote tunafikiri lakini tofauti yetu iko kwenye kufikiri kwetu
 
Wenzako wanawaza pato la mlangoni..
 
Alafu game inachezwa Jpili hamasa mpaka sasa hata daladala moja iliyoweka bendera kama sehemu ya kuhasisha, yote kwa yote kila la kheri stars japo ntashindwa kwenda
Labda kama ukiweka Bendera ukajaze mafuta bohari ya serikali pia Trafiki P. wakuache ata ukivunja shera japo kidogo..
 
Ulete waenda uchi uwanjani,mimi msuva cjawahi kuyaona haya uwanjani maana kule kwa waarabu hakunaga,macho na akili yangu...!mnapaswa kuniombea xna ili viwe kwenye kuscore2

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eti wema sepeto nae anahamasisha?? mtu ambaye hajui lolote kuhusu mpira.
Sio yeye tu, wengi hawana influence kwenye mambo ya kijamii, na ndio maana huoni hata wakipata endorsements za matangazo kwenye kampuni kubwa za ndani. Umaarufu wao umejengwa kwenye mambo ya kipuuzi na si kazi za sanaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…