Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 64,960
- 111,265
Dotto Magari pamoja na kuwa mtu mjinga na chawa mkubwa wa CCM na Samia ila katika suala la ushoga ana msimamo sahihi kwa 99% kuliko Watanzania wengi hata wale wenye digrii tatu.
Tatizo upande wa Dudubaya ndio una watu wengi Tanzania ukiwaunganisha hadi CHADEMA na CCM, watawala na watawaliwa, Waislamu kwa Wakristo, Simba na Yanga.
Dotto Magari hii vita dhidi ya mjinga Dudubaya na wajinga wenzake wengi hataweza kuwa na pumzi ya kuendelea nayo kwa muda mrefu kwa sababu kupinga ushoga na mojawapo ya karata muhimu ya CCM kuwapumbaza raia ila kwa sasa namuunga Dotto mkono mpaka atakaporudishwa upande wa Godfrey Tumaini.