Dotto Magari: Wanaondesha Gari za IST ni Washamba, Wapiga Mizinga, Wakopaji Wakubwa, Waongo, Wanafiki na wapenda Majungu mno

Mleta huu Uzi GENTAMYCINE hata Baiskeli tu sina / hana, ila nimeamua / kaamua kuwa Mjumbe wa kuleta hiki alichosema Dotto Magari.

Kazi Kwenu wenye IST zenu.

Imeisha hiyo.....!!
Mi sababu ninayoisikia kwa wanakuja ki wa ist ni ubanaji wake mafuta,hayo mengine ndo nayasikia hapa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…