Dotto Magari: Wanaondesha Gari za IST ni Washamba, Wapiga Mizinga, Wakopaji Wakubwa, Waongo, Wanafiki na wapenda Majungu mno

Pole sana Mkuu kwa kuwa na IST.
No mkuu Genta, huko kwenye IST ndiko nilianzia namshukuru Mungu amenipandisha kwa kiasi chake.
Lakini siwezi kuwabeza wenye IST au wale wasio tumia gari zao bali Public trans. Ni ushamba kumuona mtu yuko kwenye mwendo kasi au daladala na kumdharau.
Siku moja katika mishe zangu pale JNIA tulikutana na MO kaingia na boda kuwahi ndege baada ya kushuka kwenye foleni na kuhisi atachelewa. Jee kibaka kama huyo anaweza kumdharau MO?
 
IST yako bado ipo ili Uniazime nipige nayo Misele?
 
Mshamba ni yeye na pia anaonyesha amekosa elimu.
Dotto magari alikuwa mpokeaji wa vitu vya wizi kinondoni na supply wake bill nas na wengine kinondoni. Pale ostabey tukimwaga mwengi unaweza kubaki mdomo wazi na utajiuliza ostabey wakawa na kituo nyumba ambayo inatumika kutesa au ukachukuliwa na watu wasijue hipo mikocheni
 
Teh teh

Ova
 
Sasa unahoji mtu mjinga kama yule unategemea upate nini.na yule mjinga bado ana amini gari ni show off.siku akijua kwamba gari ni hitaji la muhimu kwa binadamu ataacha huo ujinga,kila gari na matumizi yake mixer mazingira yake
 
Mleta huu Uzi GENTAMYCINE hata Baiskeli tu sina / hana, ila nimeamua / kaamua kuwa Mjumbe wa kuleta hiki alichosema Dotto Magari.

Kazi Kwenu wenye IST zenu.

Imeisha hiyo.....!!

Kwani Doto magari ni nani? Mkianza waendekeza wasiojitambua tunawathaminije? Anapambania mkate wake sababu ya ukweli kwamba hana namna nyingine.
Ni debe tupu lisiloacha kutika
 
Back
Top Bottom