Mkongwe Mzoefu
JF-Expert Member
- Aug 10, 2018
- 861
- 2,515
No mkuu Genta, huko kwenye IST ndiko nilianzia namshukuru Mungu amenipandisha kwa kiasi chake.Pole sana Mkuu kwa kuwa na IST.
Lakini siwezi kuwabeza wenye IST au wale wasio tumia gari zao bali Public trans. Ni ushamba kumuona mtu yuko kwenye mwendo kasi au daladala na kumdharau.
Siku moja katika mishe zangu pale JNIA tulikutana na MO kaingia na boda kuwahi ndege baada ya kushuka kwenye foleni na kuhisi atachelewa. Jee kibaka kama huyo anaweza kumdharau MO?