Double agents, double impacts

Halafu kinachonishangaza why double agents mara nyingi hutokea kuaminiwa na hata matukio Yao ya uyuda Huwa hawashtukiwi kiupesi [emoji28] Huwa wanatumia Nini ku fool waaminiwe?
 
thank you for good read
 
[emoji28][emoji28]kumbe Hadi CIA nao waliingizwa Cha kike nyie [emoji28][emoji28]kumbe hata uwe smart vipi lazima ukamatike tu huyu Zhomov was genius kanifuraisha sana.
Hafu huyu Zhomov alipoteleaga wapi mazima?
 
Halafu ka hao CIA hutungiwa Sheria na saa ingine kufikishwa bungeni na kuwa accountable why Kwa nchi yetu hizi intelligence Zina work under president instead saa nyingine kuwa hata independent body au bunge ili liwe accountable and more serious
 
[emoji28][emoji28][emoji28] interesting indeed unfortunately CIA hu publish taarifa nzuri tu walikopigwa ndoige hawasemi, Tena walichezewa vibaya kuliko ya Oleg.
All in all Hawa double agents ni nyoko [emoji28][emoji28]
 
Na hivi Tanzania mbona sijaona hao investigative journalist maana huku uhandishi wa Habari ni kazi ya failures, why hatuna hao waandishi wachunguzi?
Unamkumbuka Jerry Muro, alitest mitambo kwa kipindi chake cha report maalumu. Ilikuwa shida. Investigative journalism ni risk na inataka mtu wa kujitoa ambaye hauogopi kupambana na watu wanaojiona wao ni untouchables.

Unakuwa nusu kachero nusu mpelelezi, the reporter. Halafu unatakiwa kuwa mbabe sana na mtata ili ukikutana na wale wadau wa "Unanijua mimi ni nani, nitakupoteza wewe endelea kunifuatilia mambo yangu" uweze kuwadhibiti kibabe na kuendelea na lile unalofanya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…